A Word of Appreciation
A Word of Appreciation
A Word of Appreciation
Dear brethren, I do take this opportunity to thank Almighty God for having safe guarded us throughout this term
and also enabling us to successfully produce this song booklet. On behalf of everyone/ Christians who either
directly or in directly extende their warm ideas and hands towards the achievement of this exercise, may God’s
blessings be realized in you abundantly. In particular, we thank the great Choir leadership: Mr. Cornel Ochieng
- Chairperson, Ms.Cynthia - asst. Chairperson, Mr.Timothy - Secretary, Ms.Angella - asst. Secretary, Ms.Pascaline
- Treasurer, Mr.Danish - organizing Secretary and Ms.Pamela - Project coordinator. Sincere gratitude and thanks
also goes to choir members who fully contribute financially for the aid of the project, am proud of you my people.
It would be wrong to thank our beloved choir trainers and Pianists: Mr. Boaz, Clement, Cornel,Mashud, Danish
and Isaiah to whom their songs are scarted and captured all over inside the booklet. In tranquility and with a free
heart, let’s continue serving the Lord to the best by singin, praying and Materially for He loves cheerful giver.
Remember that he/she WHO SINGS WELL PRAY TWICE. Thanks and may God’s blessings come forth and be
your shadows.........AMEN.
DECLARATION.
I do declear that the production of this song book let was solemnly Choir Leader’s idea, it’s faciltation was also
fully by the choir members who were in session between September to November 2021.This was to set a pace for
more and better projects for the chaplaincy choir, that has truely grown, hence deserving much than this for the
contiunity of evangelization. Through togetherness, stable faith and strong hearts as children of God, let’s a rise
and everngelize to the whole the nations.
Sign:.......................... Date:...........................
Seretary:.....................ODHIAMBO TIMOTHY
Sign:.......................... Date:............................
Sign:.......................... Date:............................
ENTRANCE
NJOONI TUINGIE
1. Njooni tuingie nyumbani mwa bwana - njooni tuingie nyumbani mwake
Wazee ingieni nyumbani mwa bwana - njooni tuingie nyumbani mwake ×2
Tunaingia - kwa vifijo na shangwe
Kwa ngoma safi - kwa madaha na maringo
Tujiandae -tuimbe radhi kwa Mungu
Atutakaze - tukamtolee sadaka ×2
2. Vijana furahini ulinzi wa Mungu - njooni tumshukuru mlinzi wetu
Pamoja tujongee tupige makofiv- njooni tumshukuru mlinzi wetu ×2
3. Mwenyezi atupenda kwa pendo la kweli - njooni tumshukuru Muumba wetu
Kwa kweli tumeumbwa kwa mfano wake - njooni tumshukuru Muumba wetu ×2
HITIMISHO
Uwepo wake unaonekana wazi kwa matendo ya huruma ayatendaye kila
AMKENI WOTE
Amkeni wote, tufanye shangwe kwa nyimbo nzuri,
hekaluni mwake, uzuri wake wapita kiasi ×2
Njooni tuimbe, njooni tucheze tufurahi sote kwake Mungu baba ×2.
NABISHA HODI...........Mashud.
Nabisha hodi kwako bwana mungu wa miungu x2
Nikutumikie kwa furaha teletele aa ee x2
TAZAMA TAZAMA
Tazama tazama ni vyema na vizuri (sana)ndugu wakiishi pamoja kwa amani, wanafanya kazi pamoja kwa umoja
(kweli) na upendo mwingi, hudumu kati yao*2
1. Kama vile mungu baba na mwana pia na roho wanavyoshikana kwa
utatu takatifu kwa umoja huo kila mmoja na jukumu lake, na kwa hayo
yote mungu wetu atukuzwe siku zote.
2. Tutende haki kwa watu ili tuwe na Amani kwani pasipo na haki amani
ukosekana, tunapokosa amani maendeleo hakuna na heshima hutoweka kwani shida zinakuwa nyingi.
3. Tuache mashindano yale yaletayo chuki, tushirikiane ndugu katika jamii
zetu komesheni tofauti zenu ndugu mpendane, kwani sisi ni watoto wake
mungu yuleyule mmoja.
4. Tukiwapenda wenzetu kati yetu mungu yupo, atatuwezesha kweli
kutimiza mambo mengi,
Kweli umoja ni nguvu utengano udhaifu, tukaeni kwa umoja na Amani
tudumishe sote.
KIK IKADHA
Kim ikadha ma ok igwedha, adonjo eod lamo, odi ema ayude gigo maadwaro, adonjo e of lamo
Yie iluoka maler ka pamba, ikwo na pii hawi golna richo duto matura iromna gi ng’uono ×2
Weya awerne ,weya amielne, weya apamne wuon osimbo ×2
1. Aweyo tijena mondo adhi e Misa enie e ngimana enie tekona ×2
biuru uduto wapak uru wuon osimbo×2
2. Jokristo duto tee wachunguru gi ilo wagoluru sadaka,
sadaka mar misa ×2 biuru uduto in nyaka jogo ma ojony ×2
3. Eod Nyasaye ka ema wayude golo, golo mar maricho gigo ma mako
chunje ×2
ka wachamo ringre kendo wamadho rembe ×2.
1. Wakelo lembwa duto eod Nyasaye, wapako nyinge maker eod Nyasaye.
(Ji duto biuru Mondo wami nyinge duong’×2).
2. Wayudo gweth Koda hawi eod Nyasaye, wayudo nema maker eod
Nyasaye.( Ji duto biuru mondo wami nyinge duong’×2).
3. Waluoko richo duto eod Nyasaye, wayudo ngima manyien eod Nyasaye.
( Ji duto biuru Mondo wami nyinge duong’×2).
4. Wayudo chiemo maker eod Nyasaye, wayudo Yesu jawar eod Nyasaye.
( Ji duto biuru Mondo wami nyinge duong’×2).
5. Wayudo Chang mochuere eod Nyasaye, wayudo let mochuere eod
Nyasaye. ( Ji duto biuru mondo wami nyinge duong’×2).
LUGHA YA MUZIKI
Nime-sikia nyimbo (nzuri) za kumsifu Mungu (mifasodotila somi) (misoso) lugha ya muziki. Nemependezwa sana
(mimi) kumwimbia Mungu (mifasodotila somi) (misoso) lugha ya muziki.
Sop/Alto- Waimbaji wanaimba nyimbo nzuri tamu tamu, utukufu wake Mungu ,atukuzwe Mungu (famiredoti)
(do-so) Mungu wetu
UNIOSHE BWANA
Unioshe bwana uninyunysie maji, niwe mweupe Kama theluji×2
Nioshe bwana na damu yako niwe mweupe mweupepe×2.
NJOONI TUMSIFU
Njooni tumsifu bwana mungu wetu,*2
Njooni tuimbe njooni tucheze njooni turuke sgangilieni bwana*2
VIJANA NA SIMU
Vijana wa sikuizi, tumeshikwa na simu ×2,
WhatsApp, twitter kilamara, facebook
hata kanisani (badilini mwendeno. ×2)
1. Asubuhi ukiamka badala ya kumshukuru mungu,
(waangalia simu kama ujumbe wowote ×2)
2. Ukitembea njiani, simu mkononi huoni,
(magari yakifika ndipo washtuka vibaya..×2)
3. Unaendesha gari na huku unasoma ujumbe,
(nyote mliondani mko hatarini san. ×2)
4. Familia zavunjika, nyumbani hakuna kuongea,
(achana na hiyo simu muwe na Amani. ×2)
NAENDA NYUMBANI
1. Naenda nyumbani mwa bwana mungu wangu,
nyumbani mwa bwana Ni nyumba ya sala.
UTUHURUMIE/ UTUKUFU
LORD HAVE MERCY
Lord have mercy x2 have mercy, have mercy have mercy on us Lord x2
Jesus Christ have mercy on us Lord x2
Lord have mercy x2 have mercy, have mercy have mercy on us Lord x2
GLORY
Glory be to God, glory be to father,
glory be to creator of heaven and earth x2
and peace be to all people, people of good will x2
1. We worship you …. We give you thanks …….
We praise you Lord …… we glory – Glorify you.
2. Lord Jesus Christ …. The only son ….. of father Lord …..
Lamb of God – Lamb of God.
3. The only son …… son of God ……. You take away …..
our sins – have mercy on us.
4. You are seated at … the right hand of ….. the father – receive our prayer
5. You alone are holy … Holy are the Lord …. You alone are most …
most high – Jesus Christ.
6. For you alone are … the Holy one …. You alone are Lord …..
for you alone – are the Lord.
7. You alone are the… are the most high …… Jesus Christ ….
With the holy – spirit Amen.
UTUHURUMIE (Key F 4/4 tmp 70)
Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2
Kristu utuhururmie, Kristu utuhururmie x2
Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2
UTUHURUMIE
Ee ee bwana utuhurumie ×2
Tuhurumie ×3 utuhurumie ×2
Ee ee Kristu, utuhurumie ×2
Tuhurumie ×3 utuhurumie ×2
Ee ee bwana, utuhurumie ×2
Tuhurumie ×3 utuhurumie ×2
TUNAKUSIFU
Tunakusifu, tunakuheshimu tunakuwabudu, tunakutukuza ×2
1. Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, amani kwa watu was mapenzi
(watu watu wa mapenzi mema×2)
2. Ee bwana mfalme wa mbinguni, means wa pekee mwa kondoo
( kondoo wake mwana wa baba ×2).
3. Uondoaye dhambi za Dunia, tuhurumie utuhurumie
(ombi letu baba uyapokee ×2).
4. Unayeketi kuume kwa baba, tuhurumie utuhurumie
( ndiwe peke yako mtakatifu ×2).
5. Pamoja naye roho mtakatifu, katika utukufu wa Mungu baba
( milele yote milele Amina ×2)
UTUKUFU
1. Utukufu kwa mungu juu mbinguni, na amani iwe kote duniani,
kwa watu wenye mapenzi meme.
(Tunakusifu, tunakuheshimu na tunakuabudu Baba tunakutukuza*2)
2. Tunakushukuru mungu kwa ajili, ya utukufu wako mkuu ee Bwana,
Ni mungu ndiye mfalme wa mbingu.
3. Ee Baba mwenyezi Bwana yesu kristu, ee mwana wa pekee ee
mungu mwana kondoo wa mungu mwana wake Baba.
4. Mwenye kuziondoa dhambi za dunia, utuhurumie tuhurumie upokee
Baba maombi yetu.
5. Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba, utuhurumie kwa kuwa ndiwe!
Pokee yako ndiwe mtakatifu.
6. Pokee yako ndiwe mkuu, ee yesu kristu pamoja nayo Roho mtakatifu
milele yote.
BWANA UTUHURUMIE
Bwana utuhurumie.....*3
Kristu utuhurumie......*3
Bwana utuhurumie....*3
UTUKUFU
Utukufu kwa mungu juu, na Amani kwa watu wenye mapenzi mema..*2
1. Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu.
2. Tunakusifu, tunakuheshimu mfalme wa mbinguni.
3. Ewe Bwana mungu mfalme wa mbinguni mungu baba mwenyezi.
4. Ewe Yesu Kristu mwana wa pekee, mwana wake baba.
5. Mwenye kuondoa, dhambi za dunia, utuhurumie.
6. Mwenye kuondoa, dhambi za dunia, pokea ombi letu.
7. Peke yako Bwana, peke yako mkuu, peke yako mkombozi.
8. Pamoja na roho, roho mtakatifu, milele Amina.
EE BWANA UTUHURUMIE.
BIBLE PROCESSION
Nee kaka awuotho, nee kaka asungo, nee kaka anyono ating’o wach
mang’ima.
Eniengimana, enietekona, enieokumbana, kating’o wach mang’ima x2
NENO LA BWANA
1. Neno la Bwana laja kwetu sisi
(Neno la Bwana Mungu Linakuja ×2)
Tulihubiri (neno) kwa mataifa (yote) tulitangaze watu wasikie ×2
2. Neno la Bwana neno lenye uzima
(Neno la Bwana Mungu Linakuja ×2)
3. Neno la Bwana neno lenye baraka
(Neno la Bwana Mungu Linakuja ×2)
4. Neno la Bwana lafariji wajane
(Neno la Bwana Mungu Linakuja ×2)
5. Neno la Bwana lafariji yatima
(Neno la Bwana Mungu Linakuja ×2)
WIMBO WA KATIKATI
GLORY AND PRAISE (for you during lent/advent) Key D 2/4 tmp 80
Glory and praise to you Lord Jesus ……… Glory and to you Lord Jesus Christ x2
Aleluya : subukia
Aleluya aleluya aleluya
Aleluya aleluya aleluya
Aleluya aleluya aleluya x2
MSHUKURUNI BWANA
Mshukuruni bwana×3 kwa kuwa ni mwema
Kwa kuwa fadhili zake ni za milele
1. Yeye ndiye bwana wa mabwana
Yeye ndiye mfalme wa wafalme
(Yeye pekeyake ametamalaki mbingu na nchi×2)
2. Bwana yuko kando yangu mimi
Maadui wangu cwahofu.
(kwani bwana ndiye mfalme wa mbingu na nchi)×2
3.Ntamshukuru bwana wangu
Kwenye malango matakatifu
(Kwani yeye ndiye anayestahili kuabudiwa)×2
NASADIKI.
1.Nasadiki kwa mungu moja............Nisadiki.
Ndiye baba yetu mwenyezi.......... ,,
Mumbai mbingu pia dunia........... ,,
Nasadiki kwa yesu kristu............. ,,
{Ninasadiki - mimi ninsadiki (kweli ×2).}
(Ninasadiki - kweli ninasadiki. ×2)
2.Mwana wa pekee wa mungu..........Ninasadiki.
Mwenyekuzaliwa kwa baa............. ,,
Akapata mwili kwa roho................ ,,
Kazaliwa naye bikira...................... ,,
3.Kisha yeye kasulubiwa...............Ninasadiki
Kwa amri ya ponsio pilato.......... ,,
Kwa ajili yetu katezwa................ ,,
Akafa na akazikwa.................... ,,
4.Ndipo atakapo tokea................ Ninasadiki.
Kuhukumu wazima na wafu...... ,,
Kwake roho mtakatifu.............. ,,
Kwa kanisa la katoliki.............. ,,
5.Ushiriki wa watakatifu............Ninasadiki
Ondoleo ya dhambi zetu............ ,,
Nangoje ufufuko wa mwili......... ,,
Na uzima wa milele.................... ,,
NASADIKI
OH YES LORD I BELIEVE
1. Might father I believe. Ooh yes Lord I believe
Who created heaven and earth
Equal in the fathers power
And from heaven came to earth
Yes yes ooh yes Lord I believe,
Yes yes I do believe.*2
2. I believe in Jesus Christ
Everlasting son of God
Of the Virgin Mary Born.
By the spirit word made flesh
3. Suffered died and crucified
And he rose from the dead
He ascended into heaven
His kingdom has no end
4. In the spirit I believe
Lord giver of life
With the father and the son
He is adored and glorified
5. I believe in holy church
And baptism I confess
I shall see him there in heaven
Living in the word to come
SADAKA
VIZINGIZIO
Acheni vzingizio wanadamu....acheni vizingizio kwamba Ali ngumu ×2 Nendeni mkatoe (sadaka) ×3
kwa bwana
1. Sio nyinyi wenye magari ya kifahari - Mnadai hali n ngumu.
Sio nyinyi wenye fedha nyingi mifukoni............
2. Sio nyinyi wenye majumba ya kifahari...........
Ndani yake mnajaza vitu vya thamani...............
3. Sio nyinyi mlivuna mzao mengi..........
Sio nyinyi mnaopokea mshahara..........
4. Msidhani mmepata kwa uwezo wenu..........
Basi ni Mungu aliyewajalia hayo......
SADAKA
Viuzeni mlivyo navyo mkavitoe sadaka kwa kuwa mnajiwekea
hazina yenu binguni (ndugu)kwa kuwa mnajiwekea binguni.
1. Rudisheni kwake bwana ni mali yake viuzeni.
2. Onyesheni moyo safi kwa ukarimu viuzeni.
3. Msidhani manpotteza vilivyo navyo viuzeni.
4. Mkitoa mtalipwa binguni viuzeni.
5. Yeye mungu anaona mioyo yetu viuzeni.
RUDI KWANZA
Rudi kwanza kapatane na ndugu yako*2 (ndipo)
urudi madhabahuni (uje) kutoa sadaka yako utabarikiwa wewe na kuzudishiwa.
KIMYA HIKI
Kimya hiki kinanishangaza sana najiuliza ×2
Ni kiumbe gani asiye na shukrani humu ulimwenguni ×2
Kimya (jameni kimya ×3) Mimi nashangaa ×2
1. Nami naleta sadaka yangu kwa bwana, na yatapokea jamani
2. Japo ni kidogo baba upokee, nami naleta
3. Kimya ni Cha nini tuamke wote Tupeleke zawadi zetu kwake bwana jameni
NIKUTOLEE NINI
Ninajua unanilinda kila siku unanijali nauliza nikupe nini nikushukuru.kiumbe gani duniani hajaona wema wa
mungu,tusimame tukatoe sadaka kwa bwana, ndugu dada toa sadaka usijali kiasi gani, bora umetoa kwa moyo
atabariki.
1. Nikutolee nini nikupe nini e Bwana,
Nikushukuru aje mungu wangu*2
2. Kila siku naishi sijakulipa chochote pokea sadaka yangu ee bwana*2
3. Nawasihi wenzangu changamke tutoeni shukurani kwa Bwana mungu wetu.*2
4. Katika kazi zangu Bwana, unanibariki pokea sadaka yangu ee bwana.
SADAKA YETU
Sadaka yetu baba - tunakutolea
Sadaka yetu baba - baba upokee ×2
SIMAMA
1. Simama ndugu yangu ni wakati wakutoa sadaka yako ukampe bwana....usisite shika chochote ulichonacho
uende mbele zake mungu atapokea*2
Tunakuja baba tunakuja na zawadi zetu twakuomba Baba uvipokee na utubariki*2 baba...
2. Mkate na divai tunaleta kwako baba-mazao ya mashamba yetu tunaleta aaa.
3. Na fedha zetu za mifuko tunaleta baba-ni jasho letu twakuomba pokea aaa
4. Furaha na uchungu wetu tunaleta baba-Imani na upendo tunaleta kwako aaa.
5. Kiini changano tunaleta kwako baba-Ni mali yako twakuomba pokea aaa.
TAZAMA
Ta-za-ma bwana tunakuja kwako (leo)
Twa-le-ta sadaka yetu mbele yako
Tunakuomba mungu baba upokee
1. Kwa nguvu zako uliweza kustawisha mazao bora, na Sasa twakutolea.
Mashamba uliyarutubisha kwa mvua nzuri mazao, kwa wingi yakastawi.
2. Bahari, mito na maziwa Bwana ukajaza samaki wengi wakupendeza
Angani ndege wengi wanarukaruka kushangilia neema yako ee Bwana
3. Wanyama wa porini wanarukaruka kushangilia neema yako ee bwana
Wadudu nao wanachezacheza kuonyesha furaha kuubwa walionayo
NI WAKATI WA KUTOA
Ni wakati wa kutoa, ni wakati wa sadaka, ni wakati wa kutoa wa kutoa sadaka kwa bwana kile ulichokiandaa
kipelekee kwake bwana hata kama ni kidogo nenda ukakitoe kwa bwana.
1. Inu-ke-ni kwa pamoja wote inukeni inukeni tukatoe shukrani kwa yote alotujalia.*2
2. Mkate nayo divai nenda ukampee bwana hata kama ni kidogo bwana ataipokea.*2
3. Na mazao ya mashamba nenda ukampee bwana hata kama ni kidogo bwana atayapokea. *2
4. Nazo fedha za mifuko nenda ukampee bwana hata kama ni kidogo bwana atazipokea.*2
ILE ULIYOIANDAA
Sop: Ile uliyoiandaa ukampe bwana, fedha nayo mifugo yako ukampe bwana ×2
Alto: Ile sadaka ulioandaa ukampe bwana, ( ewe ndugu ) fedha nayo mifugo yako ukampe bwana ×2
Tenor: Ile Ile ×5 sadaka yako, fedha nayo mifugo yako ukampe bwana ×2
Bass: Toa ndugu ile Ile sadaka yako ewe ndugu fedha nayo mifugo yako ukampe bwana ×2
1. Inuka ndugu nenda mbele ukatoe sadaka yako, Ile uliyoiandaa ukampe bwana ×2
2. Na fedha za mifukoni inuka nenda ukatoe, zile ulizoziandaa ukampe bwana ×2
3. Imani tupu bila tendo haifai kitu kwa bwana, zile ulizoziandaa ukampe bwana ×2
MPENI KAISARI..........(Boaz).
Mpeni kaisari yaliyoyake (kaisari) mpeni Mungu yaliyoyake Mungu ×2
1.Tunafanya kazi twapata maelfu, kanisani twatoa shilingi moja na tano.
2.Twachukuwa mikopo kwa mambo ya anasa, ujenzi wa kanisa twalizimishwa kutoa.
3.Tikiwa na wagonjwa hatuwasaidii,wakati wamekufa sote tunachanga kwa huzuni.
VIPAJI
TUJITWIKE
Kwa pamoja, (we baba) tusimame, (we mama) tujitwike Kila mtu na zawadi yake, aliyoiandaa, twende kwa
bwana ×2
Mimi nitamwambia bwana pokea huu mkate wangu pokea hii divai yangu , pokea hizi fedha zangu
(Uniongeze siku mingi nguvu na afya zaidi, unibaalriki siku zote ili nitoe zaidi ×2)
1. Wakristo changamkeni, cheza kwa maringo, sote tuandamane, twende kwake bwana (sadaka zetu hizi twendeni
tukamkabidhi tupate zaidi ×2)
2. Beba furushi lako tujongee mbele, twende pasipo haya twende hima hima ( Kwa wema na upendo tutoe
shukrani zetu tuseme asante ×2)
3. Mifugo niliyonayo yote ni Mali yako , mavuno niliyopata yote ni Mali yako (kwa moyo mkunjufu ninavirejesha
kwako siku hii ya Leo ×2)
4. Uzima niliyonayo yote ni Mali yako, uhai niliyonayo yote ni Mali yako ( daima siku zote nitajipeleka kwake
nipate baraka ×2
WACHOTH NEEMA
Biuru wachodh nemane newating’o mwanduwa tetete
jiduto mobiro kawuono nodog ga tonga thich thich*2
Wachopo gi wer koda miel, jokwaya nyono mbele
wago asili koda bunde wapak Nyasaye Ruodhwa*2
1. Wachopo gi nyono mosmos wadhi kamaler mogwedhi wachopo gi ojusi gi minyira waduto wakwayo ng’wono.
Wabiuru in wuon osimbo, watingo mich mwagolo wakwayi Baba gi moulo Nyarombo Tach Joma ler.
2. Makati mawakelo gi lwetwa kiyie mondo ikawgi Ruodhwa, Divai gi obani Wuon osimbo watingoni kaka michwa
ikawgi Baba ka misango mwagolo gi teko marwa, igwethwa Baba nyadinwoya kiparo jogo maler.
3. Brahim igwedho chuth chuth kogolo isaka wuode, Abel igwedho chuth chuth kiyie kod adiera mare, chi liel
oyuto gi kanyo ka ogolo mwandu ne tee, wakwayi baba gi sirinyo jahera gwedhwa, Taya.
4. Malaika owuoyo gi teko koleronwa yo mar chiwo, paulo puonjo weche Ruoth mamiyo ji duto ngima. Iparwa
Baba Wuon osimbo waduto wan joricho, iluokwa Baba mana gi remb yesu Nyarombo maler.
NAINUKA
Nainuka (Mimi) Ninakwenda kwa bwana napeleka, alichonijalia . Mikononi (mwangu) nimebeba talanta
narudisha nikapate baraka ×2
1. Mkate na divai baba upokee, uzigeuze mwili na damu ya Yesu. Fedha za mifukoni oh nimebeba, mazao ya
mashamba pia ninaleta.
2. Mifugo nimefuga ninakutolea, nafaka nimevuna ninakutolea. Kwa nguvu zako baba nimefanya kazi, ya mapato
yangu ninakupa.
3. Umeniumba, Mimi kwa mfano wako, nakutolea nafsi yangu upokee. Sina kitu kizuri Cha kukutolea, pokes
changu hiki, hapo ni kidogo.
Ruoth abiro kating’ora (kating’ora mapek) ero akelo michna kendo abiro kagangora
(kagangora malich) donge akelo michna *2
Romna ero akelo Makati (mondo ji ocham achama) divai bende ji omadhi
Wuora ero abiro gi pesa (pasa duto manayudo) ating’o nyaka olembe tee
Romna ero abiro gi jamni (nyaka rombe kod apuoche) akelo gweno Koda tech
Kaugi ero amii gi lweta (ero kaugi elweta) yie igwedhgi mondo gikonywa.
JODONGO
Jodongo ukelo ang’oo--- Aee watching malo wasemb imbe wanyon wuoth elela wadhi
kamaler wilo gweth gi chiwo gima ber ahinya on
Mine ukelo ang’oo--- Aee watching Malo wakaw okapu wanyon wuoth elela wadhi kamaler
wilo gweth gi chiwo gima ber ahinya.
Yawuoi ukelo ang’oo--- Aee watching malo wagol pesa wanyon wuoth elela wadhi kamaler
Wilo gweth gichiwo gima ber ahinya.
To nyiri ukelo ang’oo--- Aee watching malo eating ngano wanyon wuoth elela wadhi
Kamaler wilo gweth go chiwo Gina ber ahinya.
1. Mokuongo Chon gilala kwerewa madongo ne golo chiwo mowinjore -- wuon gweth
hi ngima nenoparogi.
Abel otimo misango rombo nenong’ado mokete kendo mowang’one pep - iro man gi
Suya nenochomogi.
Ibrahim ogilone wuode wuode moero wuoyi achiel kende mochiwo ne Ruoth yie
mane en go nenofwenyore.
2. Ka ji ogolone chiwo gweth obiro kelonwa pilepile mang’eny mang’eny -- gol Mana maingo
emigwedhoni.
Ikelo bando maingo puotheni ipuro manyago olemo mitingo ne ruoth-- gol Mana maingo
emigwedhoni.
Okelo gweno gi tonge chunyi ogwedho moloko mare modakie maber ---gol Mana maingo
emigwedhoni.
3. Ka ruoth ogwedhoni puothe chambi mikayo mikete edero mirito maber -- donge Cham
Matin inyalo chiwone.
Ogwedho pith maingo jambi mipidho mikwayo pile mirito maber -- donge kata mamoko
Inyalo chiwone.
Ko okelo kwe hi hera dalani oriwo moketo Kare modakie maber -- eromana kamano
Inyalo goyone.
ANAMIYI ANGOO
Anamiyi angoo Nyasae wuora madamorigo.
In michiwo ngima mane Adam wuora asekoga wito*2
Abiro gi ilo( duto) abiro gi nguono (bende)
Abiro gimor koro akelo mich ma an godo*2
1. Pesa mawagolo e ofuke wan wakeloni gi mor,
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hela
2. Bando mawagolo e puothe wan wakeloni gi mor
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hera.
3. Mwandu mawagolo e miere wan wakeloni gi mor
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hera.
4. Diek mawagolo e abila wan wakeloni gi mor,
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hera.
5. Rombe mawagolo e abila wan wakeloni gi mor,
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hera.
6. Dhok mawagolo e kundwa wan wakeloni gi mor,
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hera.
7. Wende mawagole e chunywa wan wakeloni gi mor,
Yie igwethgi jalamo wan wakeloni gi hera.
BABA UBARIKI
Ee Baba ubariki sadaka zetu, Baba ubariki pia yangu, ninaleta mbele zako Baba, naleta mbele ya Altari.
1. Bariki viongozi bariki na walimu, Baraka twaitaji.
2. Bariki na mapadiri bariki na watawa, Baraka twaitaji.
3. Bariki wanakwaya bariki na watoto, Baraka twaitaji.
HIMA HIMA
Hima hima leo najongea kwako bwana.
Ninakuja kwako kwa unyenyekevu wangu.*4
(Nakutolea matunda ya jasho langu, pokea baba na Mimi unipe baraka)*2.
1. Kwa ukarimu nimejitolea Mimi mwenyewe;
Polepole nasonga mbele nifike kwako.
Ninakukabidhi nilichonacho,
Hiki kidogo baba pokea.
2. Mapato yangu ni duni sana we wanijua’
Sina kitu kizuri cha kukutolea wewe
Ninakukabidhi maisha yangu,
Uzima wangu baba pokea.
3. Mungu wangu ninakuja kwako nikushukuru;
Umenilinda siku zote asante sana.
Mavuno yangu nakupa wewe,
Na fedha zangu Baba pokea.
4. Wiki nzima umenijalia uhai bure,
Umenikinga na matatizo unanipenda,
Mkate huu nakutolea
Divai hii baba pokea.
5. Baraka zako ninazipokea siku kwa siku;
Mungu Baba nionyeshe mbingu nifanye kazi,
Mifugo yangu nakutolea,
Furaha yangu baba pokea.
TWAKUTOLEA LEO.
(Twakutolea leo vipaji vyetu twakuomba baba poke.×2)
1.Bwana ulitujalia nguvu mwilini, nasi tukaweza kufanya kazi......hivyo tulichopata tunakutolea
shukrani zetu kwa baba.
2.Bwana ulileta mvua kwenye mashamba na mazao yakasitawi vyema.......hivyo tulichopata
tunakutolea kama shukrani zetu kwako baba.
3.Matunda yamesitawi vyema kondeni,kwa mvua ulizozileta bwana.........
hivyo tulichopata tunakutolea kama shukrani zetu kwako baba.
MTAKATIFU
HOLY HOLY.........(Cornel)
1.Holy holy ×3, Lord of host. (Tenor)
2.Heaven and earth ×3, Are full of your glory. (Alt.)
Hosana - Hosana in the highest ×2
3.Blessed is he ×3 , who comes in the lords name. (Alt.)
SALA YANGU.
Sala yangu na ipae mbele yake (naipae) kama Moshi wa wa ubani x2
Eeh Bwana upokee sadaka zetu tunazokutolea kama shukurani yetu ee Bwana pokea.
Eeh Bwana upokea dhabihu zetu tunazokutolea kutoka mashambani e Bwana pokea.
Ee Bwana upokee na pia nia zetu tunazokutolea kwa moyo wetu wote ee Bwana pokea.
MOSANTU
Mosantu ee, mosantu ee,
Mosantu ee, mosantu olikolo.*2
(Bass; yemba mosantu)
1. Likolo na nsee, bitondi na nkembo, nkembo ee nene, mosantu olikole.
2. Nkembo no oyo akoya o kombo, kombo ya mokonzi, mosantu olikole.
3. Ebele ya bayuda, Ba kondi komituna, oyo ndoe nani, ozoina olikolo.
Bass; yemba ozana*2
Ozana ee, ozana ee,
Ozana ee, ozana olikolo.
MTAKATIFU
1. Mtakatifu Bwana×3. Mungu wa majeshi, mbingu na dunia zimejaa
utukufu wako×2 Bwana Mungu×2.
Hosana juu, hosana juu, hosana juu, juu mbinguni×2.
2. Mbarikiwa yeye ajaye, kwa jina la bwana×2 mungu wetu×2.
MTAKATIFU
1. Mtakatifu bwana, mtakatifu bwana, bwana Mungu wetu, Mungu wa majeshi ×3
( Hosana juu kwa Mungu) Hosana ooh, hosanna juu mbinguni ×2
2. Mbingu na dunia, mbingu na dunia kweli zimejaa utukufu wako ×3
3. Mbarikiwa yeye, mbarikiwa yeye, Yule ajaye kwake bwana Mungu ×3
FUMBO LA IMANI
FUMBO LA IMANI
Eae bwana tunatangaza ×2 kifo chako kifo chako......
Na kutukuza ufufuko wako ....mpaka utakapokuja......mpaka utakapokuja
FUMBO LA IMANI
Sop- fumbo la imani*2 kristu alikufa, Kristu alifufuka Kristu yesu atakuja kwetu tena*2
(Aaaamina*4)*2
FUMBO LA IMANI
Fumbo kuu la imani- Fumbo kuu la imani binadamu tuamini ×2
(Yakuwa) Yesu Kristu alikufa Yesu Kristu alifufuka, Yesu Kristu atarudi binadamu tuamini ×2
AMINA
AMINA
Bass: Aamina Aamina.
All: Amina ×2
Amina ×6
AMANI
MOS NYAWADU...........( Cornel).
1.An kabedo piny kaparo hera nogo hera nogo, mane yesu okawo momiyowa..(tenor)
Mosnyawadu gi hera mar nyasaye wuon osimbo..(All).
2. Ng’uong
3. Gueth
4. Singo
TUTAKIANE AMANI
1. Amani ya bwana Mungu tutakiane amani ×4
Tutakiane - Amani
Tupeane - Amani.
Tusambaze -Amani
Nchi zote - Amani ×2
2. Upendo...
3. Nehema...
4. Faraja....
5. Fadhili.....
6. Umoja...
AMANI YA YESU
1. Amani ya bwana Yesu isambae kote.
(Amani ya bwana Yesu isambae kote)*2
(Isambae sambae) daima na milele eee
(Na idumu nasi) daima na milele ee
2. Upendo wa bwana yesu isambae kote.
(Upendo wa bwana Yesu isambae kote)*2
3. Faraja ya bwana yesu isambae kote.
(Faraja ya bwana yesu isambae kote)*2
4. Ulinzi wa bwana yesu isambae kote.
(Ulinzi wa bwana yesu isambae kote)*2
5. Umoja wa bwana yesu isambae kote.
(Umoja wa bwana yesu isambae kote)*2
Yelele Yelele-- Yelele yele Aeeh yelele yelele ...Amani...ya Bwana Yesu na
isambae kote×2.
2.Upendo wa Bwana Yesu.........
3. Fadhili za Bwana Yesu.........
4. Furaha ya Bwana Yesu.......
5. Hekima ya Bwana Yesu....
KIWUOTHO GI YESU.
Kiwuotho gi Yesu - in gi chir imuomo piny gotieno
Kiwuotho gi Yesu - in gior ionge kuyo gi luoro.× 2
1. Answer ne Yesu jabura agoyene thumbe, an amiel ne Yesu jatelo apamone
lueta anatine
Nyasacha natine Jehova, anapake kawuono, nating’e malo pile.
2. Yawa Chung’ yong’ne ja sayun otimo madongo, yawa chung’ umielne
jamadar oritowa nono, yembe duto mag tuoche, machando jii duto, kata
tembe mag mudho oloyo duto pile.
3. Ng’uonone osiko, herane oriwowa duto, ngimawa orito gi teko moa ei
polo, dakufuane Jehova,
tinende kawuono, dak udende gi thumbe, asili koda nyidwonge.
4. Piny maru ka papile, jolamo chunguru walame, enoduogi oromnwa gi
nyadhi ne joge matiyone,
jogo duto madende malame gadiera, ginirom gi Nyasaye epolo malo
kucha.
SONG OF PEACE
1. KUNA RAHA
Kuna raha ndani ya yesu, Kuna raha ya milele(Kuna raha ndani ya yesu Kuna raha ya milele)*2
(Kweli nasema raha tu kwake yesu ni raha tu)*4
1. Wagonjwa wanapona kweli kwa jina la yesu, viwete watembea kweli kwa jina la yesu. Vipofu wanaona kweli
kwa jina la yesu, visiwi wasikia kweli kwa jina la yesu.
2. Mabubu wanaimba kweli kwa jina la yesu, wazimu wanapona kweli kwa jina la yesu.
Maskini wapata mali kweli kwa jina la yesu, wanyonge wapata nguvu kweli kwa jina la yesu.
3. Masomo tunasoma kweli kwa jina la yesu, mitihani twapita kweli kwa jina la yesu.
Na kazi tunafanya kweli kwa jina la yesu, Twakula na kushiba kweli kwa jina la yesu.
4. Familia zinadumu kweli kwa jina la yesu, Twaishi kwa amani kweli kwa jina la yesu.
Kanisa la simama kweli kwa jina la yesu, Neema na Baraka zipo kwa jina la yesu.
5. Dhambi za samehewa kweli kwa jina la yesu, wokovu tunapata kweli kwa jina la yesu.
Twaenda kwa baba kweli kwa jina la yesu, uzima wa milele upo kwa jina la yesu.
TIM KINDA
1. Tim kinda king’e ni lemo to ber*2
Tim kinda king’e ni lemo lamo to ber Nyasaye nooro wuode manowaroji e mach, tim kinda king’e nilemo lamo to
ber.
2. Tim kinda king’eni werne wer to ber*2
YESU NENOWACHO
Yesu nenowach, nawaambieni upendo wake mungu, obed kodu daima na milele (daima na milele).
Yesu nenowacho, nawaambieni amani yake mungu, obed kodu daima na milele.
1. Amani ya bwana iwe nanyi nyote-pokea mwenzangu.
Furaha ya bwana iwe nanyi nyote-
Baraka ya bwana iwe nanyi nyote-
2. Upendo wa bwana uwe nanyi nyote- pokea mwenzangu
Faraja ya bwana iwe nanyi nyote-
Fadhili ya bwana iwe nanyi nyote-
3. Neema ya bwana iwe nanyi nyote- pokea mwenzangu
Hekima ya bwana iwe nanyi nyote-
Mwangaza wa bwana uwe nanyi nyote-
LAMB OF GOD
AGNUS DEI..........(Boaz)
Agnus dei (sop) - Quitolis specata mwundi ×2..(All)
Misereee nobis pacem (sop)×2..(All).
Dona nobis pacem (bass) ×2.. (all).
MWANA KONDOO
Mwana kondoo was mungu unaye ondoa
dhambi zetu za Dunia utuhurumie *2
Utuhurumie bwana utuhurumie, dhambi zetu za Dunia utuhurumie *2
Mwana kondoo wa mungu unaye ondoa dhambi zetu za Dunia utujalie *2
Utujalie amani utujalie, dhambi zetu za Dunia utujalie *2
MWANA KONDOO
Mwana kondoo wa mungu baba( kweli)
Mwana kondoo wa mungu baba.
Unaye ondoa dhambi za dunia tinakuomba utuhurumie*2
Unaye ondoa dhambi za dunia tinakuomba utujalie Amani.
KOMUNYO
NAKUKARIBISHA
Nakukaribisha Yesu wangu, ukae moyoni mwangu ( bwana)
Nakukaribisha Yesu wangu, chakula chenye uzima
Nakukaribisha Yesu wangu, ukae moyoni mwangu ( Bwana)
Nakukaribisha Yesu wangu, kinywaji chenye uzima
MWANZI ULIOPONDEKA
1. Utambi mchafu wa Moshi mzito hata uzima, kadhalika mwanzi uliopondeka kamwe hata ni uvunja.
Hatanitupa Bwana Yesu (Yesu)
Milele yote atanipigania
Hataniacha Bwana Yesu (Yesu)
Niangamie atanipigania
2. Najua mtetezi wangu ni mwema, mwenye huruma, wingi wa rehema, asiyeyahesabu maovu ya watu.
3. Nakiri Mimi mdhaifu kabisa nimeanguka kulitii neno lakini nitamwaangukia mwenyezi.
4. Nanyi ndugu zangu kwenu natubu, niliyofanya sikuwapendeza ni sameheni nitubulie nyi pia.
5. Sikati tamaa kwa kuwa najua, Yesu mwokozi amenisamehe, Kwa kuwa hiyo ndiyo tabia ya Yesu.
WATEULE WA BWANA
Wateule wa bwana, karibu mezani pake, Bwana ametualika, kwa karamu ya upendo*2 (Njooni tukale mwili wa
bwana, njooni tukanywe damu ya Bwana ametualika, ili tupate uzima kweli, hii ni karamu ya upendo)*2
1. Yakupasa ujiulize, ndugu una kikwazo gani (kinacho kufanya uiogope kushiriki kwa karamu.)*2
2. Kila aulaye mwili na kuinywa damu ya Bwana (atapata uzima wa milele na hata kufa kamwe)*2
3. Kwa mkate huu na divai yumo, Bwana yesu mwenyewe (haya simameni wapenzi wake twendeni mbele zake)*2
BWANA UNIBADILI
1.Mimi nimekuwa mtu mwenye tamaa nyingi ninatamani Kila kitu kizuri duniani (Bwana).
Bwana unibadili, niyaache yote, eeh Bwana unibadili, nikufuate wewe milele ×2
2.Bwana ninakuomba unipatie msimamo, nisimame upande wako milele milele eeh (Bwana).
3.Bwana yabadili matendo yangu nitendayo, nitendayo yawe yakupendezayo wewe eeh (Bwana)
4.Bwana zibadili njia zaangu nipitazo, nipite katika njia zako ee Mungu wanguu (Bwana).
TWENDENI MEZANI
TWENDENI MEZANI tukale chakula, tumeandaliwa chakula cha mbingu*2
1. Mwili wake bwana chakula cha mbingu, tumeandaliwa chakula cha mbingu*2
2. Damu yake bwana kinywaji cha mbingu, tumeandaliwa chakula cha mbingu*2
3. Tuulapo mwili twapata uzima, tumeandaliwa chakula cha mbingu*2
YUMO HUMO
1. Yumo himo, mwokozi yesu, kwenye mzabibu na ngano tamu ni mpole ni mwema ni mzima
Waumini haya simameni, pole pole kwa maringo, jongeeni, karamuni, (mpate) mpate mpate mumwonja mwokozi
yesu. ×2
2. Ekaristi, ni jina lake, pamoja nasi, mungu Mwenyewe, ndani yetu nasi ndani yake.
3. Alitoa jioni ile, kwa kumbu kumbu, yake milele, tule na tunywe wote tuomoke.
4. Tugeuze, maisha yetu, yakafanane na meza hii, huruma, upendo masamaha.
ROHO YANGU
Roho yangu yesu inakutamani
Njoo kwangu yesu unipe heri*2
1. Nakupenda kwani wewe mwema,
Uniimarishe siku zote.
2. Naja kwako yesu unipokee,
Uniongoze kwa wema wako.
3. Uje kwangu yesu nakungoja ,
SHUKURANI
TUSILEGEE
Tusilegee mbelembele kwa kuimba mbelembele wala nyuma la hasha.
Tusilegee mbelembele kufanya kazi mbelembele wala nyuama la hasha.
Kwa furaha mbelembele kwa nderemo na machezo mbelembele wala nyuma la hasha.
Kwa madaha mbelembele sisi sote turukeni mbelembele wala nyuma la hasha.
1.Hata mkidhulumiwa msijli kabisa kwani kazi yake mungu ni matendo yake Kristu.
2. Neno lake Bwana Yesu ni kali kabisa linakata pande zote hata sisi tuwe macho.
3. Shida zote za dunia sikuvute nyuma kwani Bwana Yesu Kristu atupigania sote.
NAOMBA NEEMA
Naomba neema aa Mungu
Naomba neema ×3 Bwana
Naomba baraka aa Mungu
Naomba baraka ×3 Bwana
Naomba neema aa Mungu naomba baraka bwana ×2
1. Kila hatua nipigayo naomba neema--------Bwana
Kila hatua nipigayo naomba baraka---------Bwana.
2. I wapo masomoni baba naomba neema--------Bwana
I wapo masomoni baba naomba baraka---------Bwana .
3. Katika kazi zangu Baba naomba neema--------Bwana
Katika kazi zangu Baba naomba baraka---------Bwana.
4. Mimi na familia yangu naomba neema--------Bwana
Mimi na familia yangu naomba baraka---------Bwana.
SINA BUDI
1. Wakati wangu Sasa umekwisha fika, wa kusema Asante
Na kutangaza sifa zake mungu baba-- na maajabu take
Mimi Sina budi×3
Kusema usifiwe×2
2. Kwa nyimbo za furaha Mimi nitaimba-- kwa nderemo na shangwe
Nitapiga makofi ngoma na kayamba--- Filimbi na vinanda
3. Leo no siku njema siku ya furaha--- tumepokea neno
Tumelishwa na damu sisi tumeshiba-- tumenyweshwa kwa damu.
4. Onjeni wote Leo mwone ya kwamba--- bwana wetu yu mwema
Nimelionja pendo lake nitasema--- bila kusitasita.
SINA NENO
1. Ehee nakumbuka kule nilikotoka--- ahaa najiuliza Mimi nisemeje
(kwako)
Ehee kigugumizi kinanikamata-- ahaa najiuliza Mimi najioji tu!
Sina neno Mimi sina jipya la kusema, umetenda wema mpaka unanishangaza
Nashukuru Bwana--- Asante Asante mungu
Tena sana -- Asante Asante mungu
Sina maneno--- Asante Asante mungu
2. Ehee uligusa tumboni mwa mama-----
Ehee nikazaliwa tayari kwa kazi-------
3. Ehee ukanipa kuwainua watu--------
Ehee wakakuimbia na kusifu--------
4. Ehee dunia iliponishambulia-------
Ehee ukasimama ukanitetea-------
HITIMISHO
Ama kweli---- iya--- unanishangaza__ wewe ni mwema.
Ama kweli----iya--- unapenda watu__ wewe ni mwema.
Ama kweli---- iya--- unawathamini,___ wewe no mwema.
Nashukuru--- iya--- nashukuru Sana__ wewe ni mwema.
Nakusifu--- iya--- nakusifu sana__ wewe ni mwema.
Siku zote--- iya--- nitakuimbia ___wewe ni mwema.
We ni mwema--- wewe ni mwema
Siku zote ni mwema--- wewe ni mwema
Na mpole--- wewe ni mwema
Kweli ni mwema--- wewe no mwema ni mwema iyaaaaa.........
NINAKUSHUKURU
Ninakushukuru bwana, kwa mwili wako
Ninashukuru bwana kwa damu yako×2.
1. Nimekula nimeshiba, nimefurahi-- Ninakushukuru bwana, kwa mema yote×2.
2. Na kinywaji Cha uzima, nimekipata-- Ninakushukuru bwana, kwa mema yote×2.
3. Kwa baraka ya uzima, nimefurahi-- Ninakushuru bwana kwa mema yote×2.
4. Umenijalia nguvu, rohoni mwangu-- Ninashukuru bwana, kwa mema yote×2.
5. Kwa upendo wako bwana, kwa watu wote--- Ninashukuru bwana, kwa mema yote×2.
6. Umetupa vitu vyote, kwa ukarimu--- Ninashukuru bwana, kwa mema yote×2.
1. Waumini simameni piga makofi na filimbi tumwimbie Leo , kwa furaha tunaimba.
2. Maji haya ya bahari, hawe milima na mabonde zote wakusifu kayumba Yumba kwa furaha.
3. Mungu Baba twakuomba tuma baraka zako zote hili nafsi zetu, ipate kuburudishwaa.
4. Pendo lako wewe Baba, pendo halina kipimo umetupatia, Babaa twasema Asante.
SIKU YA LEO
1.Siku ya Leo ni njema ni siku ya furaha, tumwimbie bwana mungu tuimbe kwa furaha×2.
Let us sing to the Lord, let us praise the Lord God×2.
Let us sing to the Lord, let us praise Lord God, Glory be to God, God of the most high×2
2.Tupase sautu zetu tumwimbie bwana kwa shangwe na nderemo tupige makofi×2.
3.Tupige vigelegele tukimsifu bwana ili tupate baraka kutoka kwake mungu×2.
4.Bwana mungu atupenda ametujalia, afya njema na maisha tumsifu mungu wetu×2.
SIFA ZA MARIA
KWA UJASIRI
1. Kwa ujasiri kwa sauti kubwa nazitangaza sifa za Mama (Maria)
Nawauliza wakubwa wadogo ni nani kama mama maria (Maria)
Alitoa Mungu mwenyewe (kweli), amekomboa wana wa Eva ( wote)
Mama maria anatuombea kwenye safari tufike salama (mama)
Atungojea kule kwa mwanaye atupokee tuishi salama ×2
2. Pasipo Siri kwa shangwe nderemo tujitokeze mbele za Mama (maria)
Tucheze ngoma tupige makofi vigelegele heko kwa mama (Maria)
3. Salamu mama umebarikiwa unabaraka kuliko wote Maria (Maria)
Mzao wako amebarikiwa unabaraka kuliko wote (Maria)
4. Tukimbilie ulinzi wa mama tufunguliwe Siri za mbingu (Maria)
Tupate shibe tupate neema tuwe na heri hata milele (Maria)
NAKUPENDA MARIA
1. Nakupenda maria mama yetu, jina lako la fukuza shetani. Tumekuja, mbele yako ee mama,kwa furaha wewe ni
mama yetu ×2
You were chosen by father, ave maria, you were chosen by Jesus ave maria,.. you are our holy mother,
ave maria, holy mother one of Zion, ave maria
Angaza njia, mama maria, tufike kwako mbinguni kwa baba ×2
2. Jeshi la malaika wakusifu, wafurahia kupandishwa kwako juu, Mungu ameufunua wokovu, wewe ndiwe
chemichemi ya uzima ×2
3. Sisi tuko safari ya mbinguni, maombezi yako ni nguvu yetu, safari ni ndefu sana ee mama, twakuomba mama
utuombee ×2
JINA MARIA
Jina Maria - ni jina tukufu.
Lafurahisha - linatutuliza,...... Malaika mbinguni wanaliiamba, usiku na mchana
wanaliimb. {Wakisema,......”ave ave” Maria,(ni jina tukufu) jina la Maria.×2}
1. Maria mama wa mungu tuombee, (tuombee kwa manao Yesu Kristu.×2)
2. Twaliimba sifa zako siku zote, ( wewe uliye mnara wa Daudi. ×2)
3. Twalisifu kina lako siku zote ( wewe uliye malkia wa mbingu.×2)
NAKUSALIMU MAMA
Nakusalimu mama bikira ×2
Salamu malkia wa mbingu (mama)
(Umejaa neema maria, umebarikiwa ee mama, utuombee ee kwa MUNGU ×2).
1. Mama yetu mwema Bikira , chombo Cha heshima maria.
2. Mama yake Mungu Bikira , mwombezi wetu maria.
3. Mama wa Muumba Bikira , mama wa mwokozi Maria.