Song Book
Song Book
Song Book
THERESA
OF CHILD JESUS
KAPTELELIO
PARISH
KIPA IMARA
2024
1|Page
TABLE OF CONTENT PAGE NO.
NYIMBO ZA SADAKA.
12. NITAKWENDA MIMI MWENYEWE.............................................................8
13. LETENI SADAKA KAMILI.............................................................................9
14. ACHENE VISINGIZIO...................................................................................9
NYIMBO ZA MATOLEO.
15. KIINOOMCHIINOO...................................................................................10
16. KUNUNOIK..................................................................................................................10
17. MTAKATIFU..............................................................................................11
18. AMINA KUU.................................................................................................................11
19. AMANI.........................................................................................................................11
NYIMBO ZA KUPOKEA
20. MEZA YA UPATANISHO.............................................................................12
21. AULAYE MWILI.........................................................................................13
22. NAKUKARIBISHA YESU.............................................................................13
NYIMBO ZA SHUKRANI.
23. KEEKETYIINEE...........................................................................................14
24. KONGOI MISIIN........................................................................................15
25. BARA NA BAHARI.....................................................................................15
2|Page
NJOONI TUINGIE NYUMBANI
1. Njooni tuingie nyumbani mwa Bwana
Njooni tuingie nyumbani mwake
Wazee ingieni nyumbani mwa Bwana
Njooni tuingie nyumbani mwake x 2
Alto all
Tunaingia Kwa vificho na shangwe
Kwa ngoma safi kwa madaha na maringo
Tujiandae Tuombe radhi kwa Mungu
Atutakaze Tukamtolee sadaka x 2
3. Twende tukacheze
Tumusujudie twende tukamwabudu wakristu hoyaa
1. Kwa nyimbo nzuri mimi, nitamsifu Nitalisifu jina lake, milele, milele yote
2. Ananipa uhai, siku zote Nitalisifu jina lake, milele, milele yote
3. Katika rah taabu, hukaa nami Nitalisifu jina lake, milele, milele yote
SUBUKIA MASS
Bwaanaa Bwaana, Bwaana utuhurumie
Krisu utuhuruie, Kristu utuhurumie x2
Bwaana Bwaana, Bwaana utuhurumie x2
UTUKUFU
Utukufu, juu kwa mungu, na amani ulimwenguni,
Kwao watu waliowaridhia, kwao watu waliowaridia x2
S/B
1. Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu, tunakutukuza
Alto
Twakushukuru kwa ajili yako ya utukufu wako mkuu
2. Ee Mungu Baba ndiwe mfalme, wa mbingui Baba Mwenyezi
Ee Yesu Kristu mwana wa pekee, mwanakondoo, mwana wa Baba
3. Uodoaye dhambi za watu, tuhurumie utusikilize
Tuhurumie mwenye rehema, maombi yetu uyapokee
4. Uketie kuume kwake, Mungu Baba tuhurumie
Kwa kuwa ndiwe peke yako, peke yako, mtakatifu
5. Pamoja naye Roho mtakatifu, katika utukufu wake
Unayeishi na kutawala milele yote. Amina.
4|Page
KOONO BIBILIA
Bass: Kooono bibilia
All: Koono bibilia ng’oolyonteetaab mukuleinyuu, koono bibilia x2
1. Ng’oolyonteetaab soboonto bibilia nyenyu
Ng’oolyonteetaab ng’aarakweek bibilia nyenyu
2. Ng’oolyonteetaab ntusoteet bibilia nyenyu
Ng’oolyonteetaab chamaateet bibilia nyenyu
3. Ng’oolyonteetaab toloosheet bibilia nyenyu
Ng’oolyonteetaab kalyeenyii bibilia nyenyu
ALLELUYA
[Aleluya, Aleluya, Aleluya Aleluya, Aheleluya X2]
[Aleluya, Aluluya – haa, Aleluya Aleluya, Aleluya, Aleluya, Ahaleluya X2]
5|Page
ROHO MTAKATIFU MUNGU (18 – 6)
1. Roho mtakatfu Mungu Njoo kwetu njoo
Utazame toka mbingu Njoo kwetu njoo
6|Page
UJE ROHO MTAKATIFU (18 – 2)
(Sekwensya)
1. Uje, Roho mtakatifu, tuangaze toka mbingu,
Roho zetu kwa mwangao
7|Page
UJE ROHO MTAKATIFU
Uje Roho mtakatfu, uzienee nyoyo za waamini wako,
uwatie mapendo yako aleluya x2
NYIMBO ZA SADAKA
ACHENE VISINGIZIO
Bass
All
[achene visingizio wanadamu
achene visingingizio kwamba hali ngumu x2]
[nendeni mkatoe, nendeni mkatoe nendeni mkatoe,
sadaka kwa Bwana x2]
9|Page
5. Kumbukeni mjane alitoa dinari Mnodai hali ngumu
Hakubakisha chochote mfukoni mwake Mnodai hali ngumu
NYIMBO ZA MATOLEO
KIINOOMCHIINOO
1. Kinoomchiinoo yeeyinteenyoo koroseek che tiilileech,
kiinomchinoo yeeyinteenyoo chee tiliilech x2
Kiinomchiino, kiinomchiinoo
Kiinomchiinoo chee tiilileech.
Kinomomchiinoo yeeyinteenyoo che tililleech x2
2. Kinomchiinoo yeeyinteenyoo tuuka tuukul che tiilileech.
3. Kiinomchiino yeeyinteenyoo amiik tuukul chee tilileech
4. Kiinomchiino yeeyinteenyoo kariik tuukul chee tiilileech
5. Kiinomchiinoo yeeyinteenyoo tukuuk tukul chee tiilileech
KUNUNOIK
Inameech aut Baba keibung
Konunoik keibung konunoik
Baibai chii ake tukul nyeibung
Konunoik – nyeibung konunoik
1. Miite soobon koonyoo leemi yeeyiinoo leemi yeeyiinoo
Ombi letu Baba utupe baraka utupe baraka x2
4. wewe ubariki fedha zetu Baba fedha zetu Baba fedha tunaleta
Yeeyin nyeebo chomyeet oibchii konunoik – oibchii konunoik.
10 | P a g e
MTAKATIFU
1. Tiiliil mokooryonteet yeeyinteenyoo
tiliil mokooryonteetaab lukeet x2
kuutororiit yeeyiin, kuutorit
(kuutororiit) kutororit yeeyiin kotororiit x2
AMINA KUU
(Amiina Ami-hi-hina-haha Amina Amina Amina x2)
(Amiina Amina Amina Amina Amina x2)
AMANI
Ee bwana unifanye Chombo
(Ee bwana unifanye Chombo cha amani yako mwana wako nakuomba x2)
(Palipo chuki nieneze upendo, penye mashaka pawe na amani,
Panapokosana nilete msamaha nitumainishe wakikata tamaa x2)
11 | P a g e
Kwenye uzima, ule wa milele
NYIMBO ZA KUPOKEA
Twende twende tumpokee
Twende, twende tumpokee
Twende, twende tumpokee x2
1. Ee sion umsifu, mkombozi wako
2. Umwimbie mchunga, nyimbo za zaburi
3. Kwani astahili, sifa yetu yote
4. Tunamshangilia kwa jili ya mkate.
5. Mkate wa uzima, ndio mwili wake
6. Aliyeutoa, kwa mitume wake
7. Paska mpya ndiye, yesu m-tukufu
8. Anyetualika, kwa karamu yake
9. Aliyoamuru, ili tumkumbuke
10.Mwili na damuye, zinatuokoa
11.Jambo la ajabu tusiloelewa
12.Imani pekee, yafahamu siri
13.Chini ya chakula afichika kristu
14.Katika safari, ridhiki ni bwana
15.Ee mchungaji mwema, yesu mkate kweli
16.Utuhurumie, nawe utulishe
17.Na utuwezeshe, tuyaone mema
18.Kwako tuendako, nchi ya uzima
19.Utuweke nawe, mezani mbinguni wanadamu
20.Utuweke nawe, mezani mbinguni
21.Huko tujaliwe, urithi wa Baba
MEZA YA UPATANISHO
Meza ya upendo na upatanisho
Meza ya heri na amani, Imeandaliwa kwa ajili yetu
Njooni wote tuijongee x2
Kwa upendo wake yesu, kwa upendo
Wake yesu, amejitoa kuwa chakula
Cha uzima wetu, mwili damu yake yesu ni uzima wa milele.
Ndani yake yesu kristu, zimo heri za mbinguni, wanayo heri x2
Wanapowekea mwili damu yake yesu ni uzima wa milele
AULAYE MWILI
Aulaye mwili wa mungu na kuinywa damu yangu,
hukaa ndani yake x2
1. Aulaye mwili wangu, na kuinywa damu yangu, ana uzima wa milele
2. Njoni enyi wenye njaa, njoni enyi wenye kiu, njoni kwangu niwashibishe
3. Aniaminiye mimi, na kushika nisemayo, nitamfufua siku ya mwisho
4. Mlapo chakula hiki, mnywapo kinywaji hiki, mwatangaza kifo cha Bwana
NAKUKARIBISHA YESU
Nakukaribisha yesu wangu, ukae moyoni mwangu bwana
Nakukaribisha yesu wangu chakula cha uzima,
uninyweshe kinywaji safi cha roho x2
mwili wako ndio chakula kinachoburudisha roho yangu
yesu karibu moyoni mwangu ukae nami daima
kwa mwili na damu yako ee yesu tunapata uzima tele, yesu karibu moyoni mwangu ukae
nami daima
13 | P a g e
NYIMBO ZA SHUKRANI
KEEKETYIINEE
Tenor: keeketyiinee
All: keeketyiinee yeeyinteet kongoi misiin
Tenor: kuyuu inee
All: kuyuu inee nyee ribeech akoo keey
1. Yeyiinteet nye ikolteech keetetyiinee kongoi misiin,
yeyiinteet nyee iribeech keeketyiinee kongoi misiin.
14 | P a g e
KONGOI MISIIN
Kongoi yeyiin, kongoi misin
Kongoi yeyiin baaba, kongoi missin x2
Twasema asante, twasema kongoi
Twasema asante, kongoi missin
Baaba (kongoi yeyiin, kongoi misiin x2)
BARA NA BAHARI
1. Bara na Bahari furahini sana
All : Tumemlikwa na nuru ya mbinguni x2
Tenor : Mumemlikwa na nyota ya Bahari
All : Bikira daima (mlika x2) njia zetu
Tenor : Mama
All : Mama tuombee, mama tuongoze
kwa mwanao yesu kule uwinguni x2
2. Pendo lake mama limetuvutia tunatangaza sifa zako kwa nyimbo bara
shangilia Bahari ivume.
Tumsifu mama, mama wa maulana
15 | P a g e
Usiku mchana anatuangaza
Tunatembea na nuru siku zote
NOTES
16 | P a g e