Ufalme Wa Mungu Quotes

Quotes tagged as "ufalme-wa-mungu" Showing 1-4 of 4
Enock Maregesi
“Bila Masihi hakuna atakayetunukiwa tiketi ya kuingia katika ufalme wa Mungu, kwa sababu hakuna atakayeokolewa bila Masihi.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Utajiri una changamoto nyingi. Yesu alisema ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Hakusema msomi. Usiwe mwendanguu. Jikusuru kuujua ukweli.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Tajiri asiyesoma lakini anayejali mambo ya ufalme wa Mungu kuliko anavyoijali dunia au yule aliyesoma lakini anayejali mambo ya ufalme wa Mungu kuliko anavyoijali dunia ni msomi. Anaweza kuuona ufalme wa Mungu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Ufalme wa Mungu umo ndani ya mioyo yetu; dunia yetu imo ndani ya vichwa vyetu, visogoni mwetu.”
Enock Maregesi