Kenya Airways
Mandhari
| ||||
Kimeanzishwa | 4 Februari 1977 | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | Jomo Kenyatta International Airport, Moi International Airport | |||
Muungano | SkyTeam | |||
Ndege zake | 30 | |||
Shabaha | 46 | |||
Nembo | "The Pride of Africa" | |||
Makao makuu | Embakasi, Nairobi, Kenya | |||
Watu wakuu | Titus Naikuni (CEO) Alex Mbugua (CFO) Evanson Mwaniki (Chairman) | |||
Tovuti | www.kenya-airways.com |
Kenya Airways ni kampuni ya ndege ya taifa ya Kenya yenye makao makuu jijini Nairobi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1977 baada ya kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kulikopelekea kuvunjika kwa "East African Airways". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Afrika, Ulaya na India. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Afrika kuliko kampuni yoyote barani Afrika. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
Angalia pia
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 1 Novemba 2009 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza) Kenya Airways mobile website