Kauehi
Mandhari
Kauehi ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Fakarava. Eneo la kisiwa ni 15 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tearavero. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 257. Watu wakaao kisiwani kwa Kauehi huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|