Karne ya 13 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 3 KK |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
►
◄ |
Karne ya 15 KK |
Karne ya 14 KK |
Karne ya 13 KK |
Karne ya 12 KK |
Karne ya 11 KK |
►
Karne ya 13 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1300 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1201 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- (31 Mei) 1279 KK: Ramesses II anashika uongozi wa Misri ya Kale.
- 1274 KK: Mapigano ya Kadesh huko Syria. Baada yake Wamisri na Wahiti wanasaini mapatano ya amani.
- 1269 KK: farao Ramses II na mfalme Hattusilis III wanasaini mapatano ya amani ya zamani zaidi kujulikana.
- 1212 KK: Kifo cha Ramesses Mkuu.
- 1210 KK hivi: Yoshua anawaongoza Waisraeli kuvamia Kanaani
- 1207 KK: Farao Merneptah anadai kushinda taifa la Israeli.
- 1200 KK hivi: Dola la Wahiti huko Anatolia linasambaratika kutokana na maangamizi ya mji mkuu, Hattusa.
- 1200 KK hivi: Mataifa mbalimbali kandokando ya bahari ya Mediteranea na kwenye Mashariki ya Kati wanahama.
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Musa, mkombozi wa Waisraeli kutoka Misri, mtoaji wa Amri Kumi kwenye Mlima Sinai
- Yoshua, mwandamizi wa Musa, anawaongoza Waisraeli kuvamia Kanaani kupitia Mto Yordani
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 13 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |