Nenda kwa yaliyomo

Valeriko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo wa Mt. Valeriko kumtokea Hugo Kapeto.

Valeriko (pia: Walaric, Walric, Waleric, Walericus, Walarich, Gualaric, Valery; Auvergne, leo nchini Ufaransa, 565 hivi - Lauconne, Ufaransa, 1 Aprili 619) alikuwa mmonaki, halafu mkaapweke, lakini pia padri mmisionari katika maeneo mbalimbali na hatimaye abati wa monasteri aliyoianzisha kwa wafuasi wake wengi[1].

Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 1 Aprili[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • (Kiitalia) Giona di Bobbio. La vita di San Colombano. Bobbio, VII secolo.
  • (Kiitalia) Dio è corazza dei forti. Testi del cristianesimo celtico (VI-X sec.). Rimini, Il Cerchio, 1998.
  • (Kiitalia) Archivum Bobiense Rivista annuale degli Archivi storici Bobiensi (1979-2008). Bobbio.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.