Uundaji wa maneno
Mandhari
Uundaji wa maneno ni ujenzi, uzalishaji au utengenezaji wa maneno mapya.
Uundaji wa maneno mapya husaidia kuongeza msamiati katika lugha ili kukidhi mahitaji ya mawasiliano.
Uundaji wa maneno mapya husababishwa na mabadiliko ya uchumi, siasa, utamaduni na maendeleo ya sayansi yanayotokea katika jamii husika.
Kwa mfano katika Kiswahili tunayo maneno mapya kama vile: uwekezaji, ukeketaji, ujasiriamali na mengine mengi kutokana na mabadiliko ya kijamii.
Njia za uundaji wa maneno
[hariri | hariri chanzo]Uundaji wa msamiati hutokea kwa njia mbalimbali zifuatazo:
- Kubadili mpangilio wa herufi.
- Kuambatanisha maneno.
- Kutohoa maneno ya lugha nyingine.
- Uambishaji wa maneno.
- Kusanifisha sauti, umbo, mlio na sura.
*Kusinyaza
Uundaji wa maneno hubadilisha maana ya maneno asili.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uundaji wa maneno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |