Nenda kwa yaliyomo

UFM

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
UFM
Faili:Union for the Mediterranean Logo.png
Union for the Mediterranean member states

     Member states of the European Union      Other members      Suspended members

     Observers
Limeanzishwa13 July 2008
Region served
Mediterranean
Membership
Official language
Arabic, English, French
Secretary General
Nasser Kamel

Union for the Mediterranean (kifupisho: UFM) ni kambi ya biashara kati ya nchi 43 za Mediteranea ambako Umoja wa Ulaya na jumuia ya Nchi za Kiarabu (ambapo wabunge wa Somalia na Jibuti wanawakilishwa) pia ni wajumbe.

Makao makuu yako Barcelona, Hispania.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu UFM kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.