Nenda kwa yaliyomo

Timothy Doherty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Timothy Lawrence Doherty (alizaliwa 29 Septemba 1950) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Marekani.

Alikuwa kasisi wa Jimbo la Rockford, Illinois, hadi alipoteuliwa kuwa askofu wa Jimbo la Lafayette, Indiana, na Papa Benedikto XVI mnamo Mei 12, 2010. Mnamo Julai 15, 2010, Doherty alitawazwa kuwa askofu wa sita wa jimbo hilo.[1][2]

  1. "Curriculum Vitae of Bishop Doherty". Iliwekwa mnamo Januari 15, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Pope Names Rockford, Illinois Pastor to Succeed Bishop William Higi as Bishop of Lafayette in Indiana". US Conference of Catholic Bishops (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.