Sue Bird
Mandhari
Suzanne Brigit Bird (alizaliwa 16 Oktoba 1980) ni Mmarekani mcheza mpira wa kikapu maarufu wa Seattle Storm katika shirika la wanawake la mpira wa kikapu(WNBA). Alichaguliwa na storm mwaka 2002 kuwa wa kwanza kwa (WNBA) na kuchukuliwa kama mchezaji mahiri kwenye historia ya (WNBA).[1]Mpaka kufikia 2021,Bird ni mchezaji pekee wa WNBA kushinda mataji matatu katika miongo mitatu tofauti.Anashikilia nafasi za juu kwenye timu ya Denver Nuggets kama msimamizi wa shughuli za mpira wa kikapu.Pia amechezea timu tatu tofauti huko Urusi.Familia yake inatokea Israeli lakini yeye ana uraia wa nchi zote mbili Marekani na Israeli.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Suzanne Brigit Bird(alizaliwa oktoba 16,mwaka 1980)ni mmarekani mcheza mpira wa kikapu maarufu wa Seattle Storm katika shirika la wanawake la mpira wa kikapu(NBA).Alichaguliwa na storm mwaka 2002 kuwa wa kwanza kwa (WNBA) na kuchukuliwa kama mchezaji mahiri kwenye historia ya (WNBA).Mpaka kufikia 2021,Bird ni mchezaji pekee wa WNBA kushinda mataji matatu katika miongo mitatu tofauti.Anashikilia nafasi za juu kwenye timu ya Denver Nuggets kama msimamizi wa shughuli za mpira wa kikapu.Pia amechezea timu tatu tofauti huko Urusi.Familia yake inatokea Israeli lakini yeye ana uraia wa nchi zote mbili Marekani na Israeli.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sue Bird kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |