Nenda kwa yaliyomo

Sevastopol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sevastopol

Sevastopol (kwa Kiukraina na Kirusi: Севастополь) ni mji wa Ukraine kusini uliotekwa na Urusi mwaka 2014 lakini uvamizi huu haujakubalika kimataifa. Una wakazi 416,263. Sevastopol iko kwenye rasi ya Krim (Crimea). Ni bandari muhimu kwenye Bahari Nyeusi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sevastopol kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.