Orodha ya maziwa ya Tanzania
Mandhari
Orodha ya maziwa ya Tanzania inatolewa pamoja na jina, eneo, nchi husika na tanbihi kama ifuatavyo:
Jina | Picha | Eneo | Nchi | Tanbihi |
---|---|---|---|---|
Ziwa Viktoria | km2 68 800 (sq mi 26 600) | Tanzania Kenya Uganda |
[1] | |
Ziwa Tanganyika | km2 32 900 (sq mi 12 700) | Tanzania Democratic Republic of the Congo Burundi Zambia |
[2] | |
Ziwa Nyasa | km2 29 600 (sq mi 11 400) | Tanzania Malawi Mozambique |
[3][4] | |
Ziwa Rukwa | ~ km2 5 760 (sq mi 2 220) | Tanzania | [5] | |
Ziwa Eyasi | km2 1 050 (sq mi 410) | Tanzania | ||
Ziwa Natron | km2 1 040 (sq mi 400) | Tanzania | [6] | |
Ziwa Manyara | km2 230.5 (sq mi 89.0) | Tanzania | ||
Ziwa Burigi | km2 70 (sq mi 27) | Tanzania | [7] | |
Ziwa Balangida | km2 33 (sq mi 13) | Tanzania | [8] | |
Ziwa Jipe | km2 30 (sq mi 12) | Tanzania Kenya |
||
Ziwa Babati | km2 21 (sq mi 8.1) | Tanzania | ||
Ziwa Ambussel | km2 19 (sq mi 7.3) | Tanzania | [9] | |
Ziwa Chala | km2 4.2 (sq mi 1.6) | Tanzania Kenya |
[10] |
Mengine ni:
- Ziwa Amboseli
- Ziwa Austin (mkoa wa Manyara)
- Ziwa Balangida Lelu (mkoa wa Manyara)
- Ziwa Basotu (mkoa wa Manyara)
- Ziwa Basuto
- Ziwa Bisongo (pia: Bisongu, Ngoma) (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Burungi (mkoa wa Manyara)
- Ziwa Chada (mkoa wa Katavi)
- Ziwa Chaya (mkoa wa Singida)
- Ziwa Chidya (mkoa wa Mtwara)
- Ziwa Duluti (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Eluanata-Nanja (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Empakai (pia: Embakai) (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Engaruka Magadi (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Gombo (mkoa wa Morogoro)
- Ziwa Haubi (mkoa wa Dodoma)
- Ziwa Hombolo (mkoa wa Dodoma)
- Ziwa Igalula
- Ziwa Ikimba (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Ilamba (mkoa wa Mbeya)
- Ziwa Kaburi (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Kajumbura
- Ziwa Kanisiwa (mkoa wa Rukwa)
- Ziwa Kanvi (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Kashonga (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Kasinga (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Kazingaine (mkoa wa Kagera)
- Ziwa la Ketwa (mkoa wa Unguja Kaskazini)
- Ziwa Kibokwa (mkoa wa Unguja Kusini)
- Ziwa Kihurio (mkoa wa Kilimanjaro)
- Ziwa Kilanga (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Kimana (mkoa wa Manyara)
- Ziwa Kindai (mkoa wa Singida)
- Ziwa Kingili (pia: Kingiri) (mkoa wa Mbeya)
- Ziwa Kitangiri (mkoa wa Singida)
- Ziwa Kitavi (mkoa wa Katavi)
- Ziwa Kitere (mkoa wa Mtwara)
- Ziwa Kwera (mkoa wa Rukwa)
- Ziwa Lipelwe (mkoa wa Mtwara)
- Ziwa Liteho (mkoa wa Ruvuma)
- Ziwa Longil (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Lugongwe (mkoa wa Pwani)
- Ziwa Lutamba (mkoa wa Lindi)
- Ziwa Lwelo (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Magadi (mkoa wa Arusha na mkoa wa Simiyu)
- Ziwa Maliwe (mkoa wa Lindi)
- Ziwa Mambamba (mkoa wa Mtwara)
- Ziwa Mamka
- Ziwa Mansi
- Ziwa Masimba (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Mchanga (mkoa wa Unguja Kaskazini)
- Ziwa Mdutu (pia: Ndutu) (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Mikuyu (mkoa wa Singida)
- Ziwa Minyere (mkoa wa Singida)
- Ziwa Mkoe (mkoa wa Lindi)
- Ziwa Momella Ndogo (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Momella Kubwa (mkoa wa Arusha)
- Ziwa Moye (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Mujunju (pia: Rwakajunju) (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Musimu (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Mwananyamala (mkoa wa Dar es Salaam)
- Ziwa Mweru (mkoa wa Mtwara)
- Ziwa Mzizima (mkoa wa Pwani)
- Ziwa Ngembe (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Nyagamoma (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Nzerkera (mkoa wa Pwani)
- Ziwa Nziwi
- Ziwa Nzuwe (mkoa wa Dodoma)
- Ziwa Ruko (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Rushwa (mkoa wa Kagera)
- Ziwa Rutamba
- Ziwa Sagara (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Saosa (mkoa wa Njombe)
- Ziwa Savwa (mkoa wa Dodoma)
- Ziwa Sekena
- Ziwa Serya (mkoa wa Dodoma)
- Ziwa Singida (mkoa wa Singida)
- Ziwa Siwandu (mkoa wa Pwani)
- Ziwa Sulunga (mkoa wa Singida)
- Ziwa Sundu (mkoa wa Rukwa)
- Ziwa Tagalala (mkoa wa Pwani)
- Ziwa Tandahimba (mkoa wa Mtwara)
- Ziwa Tandale (mkoa wa Dar es Salaam)
- Ziwa Tanga (mkoa wa Kigoma)
- Ziwa Tenge (mkoa wa Dar es Salaam)
- Ziwa Tlawi (mkoa wa Manyara)
- Ziwa Utenge (mkoa wa Pwani)
- Ziwa W. Heckmann (mkoa wa Mbeya)
- Ziwa Welu
- Bwawa la Mtera (mkoa wa Dodoma na mkoa wa Iringa)
- Bwawa la Nyumba ya Mungu
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lake Victoria | lake, Africa". Encyclopedia Britannica. Iliwekwa mnamo 2016-01-05.
- ↑ "LakeNet - Lake Tanganyika". www.worldlakes.org. Iliwekwa mnamo 2016-01-05.
- ↑ "Lake Nyasa Facts, information, pictures | Encyclopedia.com articles about Lake Nyasa". www.encyclopedia.com. Iliwekwa mnamo 2016-01-05.
- ↑ "LakeNet - Lake Malawi". www.worldlakes.org. Iliwekwa mnamo 2016-01-05.
- ↑ Ricardo, C. K. (1939-12-01). "The fishes of Lake Rukwa". Journal of the Linnean Society of London, Zoology. 40 (275): 625–657. doi:10.1111/j.1096-3642.1939.tb01695.x. ISSN 1096-3642.
- ↑ "Lake That Turns Animals to Stone? Not Quite : DNews". DNews. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-09. Iliwekwa mnamo 2016-01-05.
- ↑ Bossche, J.-P. vanden; Bernacsek, G. M.; Nations, Food and Agriculture Organization of the United (1990-01-01). Source Book for the Inland Fishery Resources of Africa. Food & Agriculture Org. ISBN 9789251029831.
- ↑ "Source book for the inland fisheries of Africa vol. 1". FAO.
- ↑ Bossche, J.-P. vanden; Bernacsek, G. M.; Nations, Food and Agriculture Organization of the United (1990-01-01). Source Book for the Inland Fishery Resources of Africa. Food & Agriculture Org. ISBN 9789251029831.
- ↑ "Lake Chala, Moshi, Tanzania. The Lake Chala Safari Camp". www.lakechalasafaricamp.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-06. Iliwekwa mnamo 2016-01-05.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.fao.org/docrep/005/t0473e/T0473E09.htm Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania
- https://books.google.com/books?isbn=9251029830 Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania
- https://books.google.com/books?isbn=2831701856 Semina kuhusu vinamasi nchini Tanzania