Ninian Mtakatifu
Mandhari
Ninian (pia: Ringan au Trynnian; 360-432) alikuwa askofu kutoka Britania ya Kusini (leo Uingereza) aliyefanya umisionari kati ya Wapikti wa Uskoti wa leo kuwaleta kwenye kweli za imani ya Kikristo akafanya Withorn makao makuu ya jimbo [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Septemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Todd, James Henthorn (1863), "The Epistle on Coroticus", St. Patrick, Apostle of Ireland, Dublin: Hodges, Smith, & Co. (ilichapishwa mnamo 1864), uk. 384
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92990
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Bede (731), Giles, J. A. (mhr.), The Miscellaneous Works of Venerable Bede, juz. la II, London: Whittaker and Co. (ilichapishwa mnamo 1863)
- Dowden, John (1894), "The Life of St. Ninian", The Celtic Church in Scotland, London: Society for Promoting Christian Knowledge, ku. 23–32
- Forbes, Alexander Penrose (1874), The Historians of Scotland: The Lives of S. Ninian and S. Kentigern, juz. la V, Edinburgh: Edmonston and Douglas
- Hardy, Thomas Duffus (1862), Descriptive Catalogue of Materials Relating to the History of Great Britain and Ireland, juz. la I, London: Longman, green, Longman, and Roberts — many references to, and comments upon, sources of information
- Healy, John (1890), Insula Sanctorum Et Doctorum (Ireland's Ancient Schools and Scholars) (tol. la 5th), Dublin: Sealy, Bryers & Walker (ilichapishwa mnamo 1908)
- Lanigan, John (1822), An Ecclesiastical History of Ireland, juz. la I, Dublin
- Mackinlay, James Murray (1904), Influence of the Pre-Reformation Church on Scottish Place-Names, Edinburgh: William Blackwood and Sons
- Moore, Arthur William (1890), The Surnames and Place-names of the Isle of Man, London: Elliot Stock
- Newman, John Henry; Hutton, Arthur Wollaston (1845), Lives of the English Saints: St. Aelred, Abbot of Rievaulx, London: James Toovey
- Scott, Archibald Black (Julai 1905), "Nynia in Northern Pictland", The Scottish Historical Review, II (8), Glasgow: James Maclehose and Sons (ilichapishwa mnamo 1905): 378–388
{{citation}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - Skene, William Forbes (1887), Celtic Scotland: A History of Ancient Alban, juz. la II (tol. la 2nd), Edinburgh: David Douglas
- Ussher, James (1639), "Britannicarum Ecclesiarum Antiquitates", The Whole Works of the Most Reverend James Ussher, D. D., juz. la VI, Dublin
Viungo ya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |