Nenda kwa yaliyomo

Niamey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Niamey
jiji, big city, administrative territorial entity of Niger, Mgawanyiko wa kiutawala wa ngazi ya kwanza
Jina rasmiNiamey Hariri
Native labelƝamay, Yamai, ⵏⵉⴰⵎⵢ Hariri
DemonymNiaméen, Niaméenne, Niaméyen, Niaméyenne Hariri
NchiNiger Hariri
Capital ofNiger, Colony of Niger Hariri
Located in the administrative territorial entityNiger Hariri
Located in time zoneUTC+01:00 Hariri
Located in or next to body of waterNiger Hariri
Coordinate location13°30′54″N 2°7′3″E Hariri
Mkuu wa serikaliBarry Bibata Niandou Hariri
Contains the administrative territorial entityNiamey I, Niamey II, Niamey III, Niamey IV, Niamey V Hariri
Twinned administrative bodyDakar, Tamale Hariri
Inashiriki mpaka naTillabéri Region Hariri
Category for mapsCategory:Maps of Niamey Hariri
Map
Niamey wakati wa usiku
Niamey jinsi inavyoonekana kutoka angani

Niamey ni mji mkuu wa Niger. Iko mwambaoni wa mto Niger. Ikiwa na wakazi 1,803,000 hivi (2018) Niamey ni mji mkubwa wa Niger na kitovu cha kiutawala, kiuchumi na kiutamaduni.

Kilimo katika mazingira ya mji kina karanga kama mazao ya sokoni; kuna viwanda vya matofali, saruji na nguo.

Niamey ilikuwa kijiji kikaanza kukua tangu Ufaransa ulijenga hapa kituo cha kijeshi tangu miaka ya 1890 BK. Mwaka 1926 ikawa mji mkuu wa koloni ya Niger. Mwaka 1930 ilikuwa na wakazi 3,000, wakati wa uhuru mwaka 1960 na wakazi 30,000 na mnamo 1980 na wakazi 250,000.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]