Mto Achwa
Mandhari
Mto Achwa (pia Aswa) unapatikana katika wilaya ya Nwoya, kaskazini mwa Uganda. Unaanza nchini Uganda na kuingia katika Nile Nyeupe nchini Sudan Kusini. Hivyo maji yake yanaishia katika Bahari ya Kati.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Orodha ya mito ya Uganda
- Orodha ya mito ya wilaya ya Nwoya
- Orodha ya mito ya Sudan Kusini
- Mito mirefu ya Afrika
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Achwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |