Nenda kwa yaliyomo

Mlima Muhabura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Muhabura(kulia) na Mlima Gahinga

Mlima Muhabura (pia unajulikana kama Mlima Muhavura) ni mlima wenye asili ya volkeno unaopatikana katika mpaka wa nchi za Uganda na Rwanda ukiwa na urefu wa mita 4,127 [1]

Mlima huu hupatikana katika hifadhi ya Mgahinga nchini Uganda na Volcanoes National Park ya nchini Rwanda [2]

  1. "Mount Muhabura - Hiking Mount Muhabura" (kwa American English). 2018-02-07. Iliwekwa mnamo 2020-03-03.
  2. "Hiking mountain Muhabura/Muhavura". Volcanoes National Park Rwanda (kwa American English). 2017-07-15. Iliwekwa mnamo 2020-03-03.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Muhabura kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.