Mlasisimizi Mkubwa
Mandhari
Mlasisimizi mkubwa | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlasisimizi mkubwa (Myrmecophaga tridactyla)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mlasisimizi mkubwa (Myrmecophaga tridactyla) ni spishi kubwa kushinda walasisimizi wote. Spishi hii ni pekee katika jenasi Myrmecophaga.
Walasisimizi hutumia ulimi wao mrefu na wa kunata ili kukamata sisimizi na mchwa katika kichuguu cha wadudu hawa.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlasisimizi Mkubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |