Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Omaheke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Omaheke katika Namibia

Mkoa wa Omaheke ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 67,496 kwenye eneo la 84,732 km². Mji mkuu ni Gobabis.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Gobabis na Witvlei.

Nossob na Eiseb ni mito muhimu zaidi.

Picha za Omaheke

[hariri | hariri chanzo]


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Omaheke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Namibia
Bandera ya Namibia
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa