Miss Grand International
Miss Grand International Organisation | |
---|---|
(Kithai) มิสแกรนด์อินเตอร์เนชันแนล | |
Habari za jumla | |
Ufupisho | MGI |
Aina | Kampuni |
Motto | (Kiingereza) Stop the wars and violence |
Historia | |
Imara | Novemba 6, 2013 |
Mwanzilishi | Nawat Itsaragrisil |
Muundo | |
Rais | Nawat Itsaragrisil |
Makamu wa Rais | Teresa Chaivisut |
Sasa Miss Grand international | Valentina Figuera |
Sehemu ya kufanya kazi | Ulimwenguni kote |
Ofisi ya mkuu | Bangkok, Thailand |
Mahali | 1213/414, Soi Lat Phrao 94 (Pancha Mit), Lat Phrao Road, Phapphla, Wang Thonglang, Bangkok, Thailand |
Idadi ya wanachama | Zaidi ya nchi 70 |
Mashirika yanayohusiana | |
Mmiliki | Miss Grand International Co, Ltd. |
Vyombo tanzu | Miss Grand Thailand |
Vyombo vya habari | |
Tovuti | Tovuti rasmi |
Miss Grand International 2020 |
Miss Grand International ni mashindano ya urembo wa kike,[1] uliofanyika kila mwaka tangu 2013.[2] Ilianzishwa nchini Thailand na Nawat Itsaragrisil[2][3] na ilionekana kuwa moja ya mashindano maarufu ya urembo ulimwenguni.[4][5] Miss Grand International ya sasa ni Valentina Figuera kutoka Venezuela.[6] Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili kama Kenya, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, na Uganda hawajawahi kushinda mashindano haya.
Mshindi
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Miss Grand International | Nchi | Mji mwenyeji | Nchi mwenyeji | Idadi ya wagombea |
---|---|---|---|---|---|
2013 | Janelee Chaparro[2] | Puerto Rico | Bangkok | Uthai | 71 |
2014 | Lees Garcia[7][8] | Cuba | 85 | ||
2015 | Anea Garcia[9] | Dominican Republic | 77 | ||
Claire Elizabeth Parker[9] | Australia | ||||
2016 | Ariska Putri Pertiwi[2][10] | Indonesia | Las Vegas | Marekani | 74 |
2017 | María José Lora[11] | Peru | Phú Quốc | Vietnam | 77 |
2018 | Clara Sosa[12][13] | Paraguay | Yangon | Myanmar | 75 |
2019 | Valentina Figuera[6] | Venezuela | Caracas | Venezuela | 60 |
2020 | Abena Appiah | Marekani | Bangkok | Uthai | 63 |
2021 | Nguyễn Thúc Thùy Tiên | Vietnam | 59 | ||
2022 | Isabella Menin | Brazil | Jakarta | Indonesia | 68 |
2023 | Luciana Fuster | Peru | Mji wa Ho Chi Minh | Vietnam | 69 |
2024 | Rachel Gupta | Uhindi | Bangkok | Uthai | 68 |
Gallery
[hariri | hariri chanzo]-
Miss Grand International 2024 Rachel Gupta
Uhindi -
Miss Grand International 2023 Luciana Fuster
Peru -
Miss Grand International 2022 Isabella Menin
Brazil -
Miss Grand International 2021 Nguyễn Thúc Thùy Tiên
Vietnam -
Miss Grand International 2020 Abena Appiah
Marekani -
Miss Grand International 2019 Valentina Figuera
Venezuela -
Miss Grand International 2018 Clara Sosa
Paraguay -
Miss Grand International 2017 María José Lora
Peru -
Miss Grand International 2016 Ariska Putri Pertiwi
Indonesia -
Miss Grand International 2015 Claire Elizabeth Parker
Australia -
Miss Grand International 2014 Lees Garcia
Cuba -
Miss Grand International 2013 Janelee Chaparro
Puerto Rico
Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]Kitufe cha rangi
- Mshindi
- Finalist
- Semifinalist
Miss Grand Tanzania
[hariri | hariri chanzo]Mashindano ya Miss Grand Tanzania yalifanyika mara moja mnamo 2017, ambayo Batuli Mohamed ndiye mshindi. Mkurugenzi wa kwanza wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Tanzania ni Paula David (2014-2015), na kufuatiwa na Samantha O'Shea Maina mnamo 2017-2019.
Mwaka | Miss Grand Tanzania | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Hakuna mmiliki wa haki nchini | ||||||
2014 | Lorraine Clement Marriot[14] | Miss Grand Tanzania 2014 | 20 | 176 cm | Dar es Salaam | — |
|
2015 | Jinah Dameckh[15] | Nafasi ya 3 – Miss Grand Tanzania 2014 | Dar es Salaam | Hakujiunga na shindano | |||
2016 | Hakuna mmiliki wa haki nchini | ||||||
2017 | Batuli Mohamed[16] | Miss Grand Tanzania 2017 | 20 | Dar es Salaam | — |
| |
2018 | Queen Mugesi Ainory Gesase[17] | — | 18 | 178 cm | Dar es Salaam | — |
|
2019 | Hakuna mwakilishi |
Miss Grand Kenya
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 2013, mmiliki wa dhamana ya Miss Grand International nchini Kenya alikuwa Beauties of Africa Organia na Andy Abulime[18] na 2015, ilikuwa shirika la Miss Kenya.[19][20][21]
Mwaka | Miss Grand Kenya | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Pauline Akwacha[18] | Top 10 – Miss World Kenya 2012 | 22 | Kisumu | — | — | |
2014 | Hakuna mwakilishi | ||||||
2015 | Elaine Wairimu Mwangi[19][20] | Miss Grand Kenya 2015 (katika shindano la Miss Kenya 2015) |
22 | Nairobi | — | — | |
2016 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Miss Grand Kongo
[hariri | hariri chanzo]Kuna mwakilishi mmoja tu wa Kongo kwa Miss Grand International mnamo 2014, Naise Gumanda,[22][23] lakini hakujiunga na shindano hilo.
Mwaka | Miss Grand Congo | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Hakuna mwakilishi | ||||||
2014 | Naise Gumanda[22][23] | — | Hakujiunga na shindano | ||||
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Miss Grand Rwanda
[hariri | hariri chanzo]Rwanda ilijiunga na Miss Grand International mara moja mnamo 2016 na Sonia Gisa.[24]
Mwaka | Miss Grand Rwanda | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2014 – 2015: Hakuna mmiliki wa haki nchini | |||||||
2016 | Sonia Gisa[24] | — | 25 | 169 cm | Karongi | — | — |
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Miss Grand Uganda
[hariri | hariri chanzo]Mkurugenzi wa mwisho wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Uganda ni Nsubuga Ronnie katika toleo la 2017. Tangu wakati huo, hakuna wawakilishi wa Uganda kwenye mashindano haya.
Mwaka | Miss Grand Uganda | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum | |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Pierra Akwero[25] | Miss International Uganda 2009 | 26 | Entebbe | — | — | ||
2014 | Hakuna mwakilishi | |||||||
2015 | Lilian Gashumba[26] | — | 26 | 180 cm | Kampala | — | — | |
2016 | Hakuna mwakilishi | |||||||
2017 | Priscilla Achieng[27] | Miss Earth Uganda 2016[28] | 24 | 175 cm | Tororo | — | — | |
2018 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sashes&Scripts Official (2019-05-18). "Age Requirements for Major International Pageants" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 201-11-12.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 Voltaire E. Tayag (2017-10-21). "Miss Grand International: A Pageant for Peace". The Rappler (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-15. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Alexa Villano (2019-10-23). "What you need to know about the Miss Grand International pageant". The Rappler (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Brigitte Ferguson (2019-07-07). "Miss Grand Australia Beauty Pageant". F Magazine Online (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Global Beauties (2019-02-12). "Meenakshi Chaudhary, Miss India Grand, is Miss Grand Slam 2018!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-12.
{{cite web}}
: Unknown parameter|lamguage=
ignored (help) - ↑ 6.0 6.1 Metro Puerto Rico (2019-10-28). "Valentina Figuera conquista Miss Grand International en su tierra" (kwa Kireno). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-05. Iliwekwa mnamo 2019-10-30.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help) - ↑ Hot in Juba (2014). "Miss Grand International Lees Garcia is in Juba" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-27. Iliwekwa mnamo 2019-11-12.
- ↑ Miss Grand International (2015-05-23). "Lees Garcia - Miss Grand International 2014 Inside The Refugee Camp" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ 9.0 9.1 Jenna Clarke (2016-03-02). "Sexual assault allegations engulf Miss Grand International as Claire Parker adopts crown". The Sydney Morning Herald (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Concurso Nacionalde Beleza (2017-04-21). "Conheça os detalhes sobre o Miss Grand International 2017!" (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
- ↑ Global Beauties (2017-10-25). "Miss Grand International 2017 is Miss Peru!" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
- ↑ Rappler.com (2018-10-26). "Miss Grand International 2018 Clara Sosa faints on stage after winning title" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-23. Iliwekwa mnamo 2018-11-12.
- ↑ Testbook.com (2018). Current Affairs Capsule October 2018 (kwa Kiingereza). Juz. la October 2018. Testbook.com. uk. 28.
- ↑ Miss Grand International Organization (2013). "Miss Grand Tanzania 2013" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Angelopedia (2015-09-19). "Jinah Dameckh to represent Tanzania at the Miss Grand International 2015" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Global Beauties (2017-08-12). "Miss Grand Tanzania 2017" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-21.
- ↑ Irina Silva (2018-08-27). "Queen Mugesi Ainory Gesase crowned Miss Grand Tanzania 2018" (kwa Kiingereza). Angelopedia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-30. Iliwekwa mnamo 2020-01-21.
- ↑ 18.0 18.1 Maureen Odiwour (2014-01-26). "Beauty beyond skin" (kwa Kiingereza). Standard Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 19.0 19.1 Thegreatpageantcommunity (2015-08-12). "Linda Gatere is Miss Earth Kenya 2015 [Photos]" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-10. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 20.0 20.1 Angelopedia (2015-08-12). "Elaine Wairimu Mwangi crowned Miss Grand Kenya 2015" (kwa Kiingereza). Angelopedia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Capital campus (2015-06-09). "Are you the next Miss Kenya? here is what organisers are looking for" (kwa Kiingereza). Capital FM. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 22.0 22.1 Pageantlovely (2014-08-01). "Miss Grand Congo 2014" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-11. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 23.0 23.1 Officialmisssierraleoneusa (2014-09-16). "Miss Sierra Leone USA Talks Miss Grand International 2014 - Queens of Africa" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-08. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 24.0 24.1 Miss Grand International Organisation (2015). "Miss Grand Rwanda 2015" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Miss Grand International Organisation (2013). "Miss Grand Uganda 2013" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Stella Nassuna (2015-10-14). "Ugandan girl finds it hard going in miss grand international" (kwa Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-27. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Denzel Shantel (2017-09-23). "Former Miss Earth needs 3M to fly to Vietnam to represent Uganda at Miss Grande Internationale" (kwa Kiingereza). Showbiz Uganda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Musa Ssemwanga (2016-09-06). "Tororo's Priscilla Achieng crowned Miss Earth Uganda" (kwa Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-24. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
{{cite web}}
:|archive-date=
/|archive-url=
timestamp mismatch; 2017-07-25 suggested (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi ya Miss Grand International
- Ukurasa rasmi wa Facebook wa Miss Grand International
- Rasmi Instagram ya Miss Grand International
- Rasmi Twitter ya Miss Grand International
- Idhaa rasmi ya Youtube ya Miss Grand International