Mfyulisi
Mandhari
Mfyulisi (Prunus persica) | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kiunga cha mifyulisi
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Mfyulisi ni mti mdogo wa jenasi Prunus (nusujenasi Amygdalus) katika familia Rosaceae. Matunda yake huitwa mafyulisi na haya yana ngozi yenye manyoya mafupi kama mahameli.
Asili ya mti huu ni Uchina, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.
Kuna aina mbili zenye matunda yaliyo na kifano kingine:
- Mnektarini (var. nucipersica au var. nectarina) - ngozi ya matunda bila manyoya
- Mfyulisi-donati (var. platycarpa) - matunda yenye umbo wa donati
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani na matunda mabichi
-
Maua
-
Mafyulisi
-
Fyulisi lililokatika
-
Manektarini
-
Mafyulisi-donati