Method Man
Mandhari
Method Man | |
---|---|
Method Man mnamo 2010
| |
Maelezo ya awali | |
Pia anajulikana kama | Mef, Meth, The Panty Raider, Methtical, Tical, Ticallion Stallion, Hott Nikkels, Hot Nixon, Iron Lung, John-John Mclane, Johnny Blaze, John-John Blaizini, Johnny Dangerous, Shakwon, Ghost Rider, The MZA, Long John Silver |
Amezaliwa | 1 Aprili 1970 |
Asili yake | Hempstead, New York, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Rapa, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo |
Miaka ya kazi | 1991–mpaka sasa |
Studio | Def Jam |
Ame/Wameshirikiana na | Wu-Tang Clan, Method Man na Redman, Redman, Streetlife, Mary J. Blige, The Notorious B.I.G. B-Real, Busta Rhymes, LL Cool J, Erick Sermon,Tupac |
Tovuti | Method-Man.com |
Clifford Smith (amezaliwa tar. 1 Aprili 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop, mtayarishaji wa rekodi, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa jina lake la kisanii kama Method Man au Meth. Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Amechukua jina lake la kisanii kutoka kwenye filamu moja hivi ya mwaka wa 1979 iliyokwenda kwa jina la The Fearless Young Boxer - pia inajulikana kama Method Man. Huyu ni mmoja kati ya nusu kundi, yaani, Method Man na Redman. Amepata kushinda Tuzo ya Grammy akiwa kama Rapa bora kwa ajili ya wimbo alioimba na Mary J. Blige wa "I'll Be There for You/You're All I Need to Get By".
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]- Tical (1994)
- Tical 2000: Judgement Day (1998)
- Blackout! (with Redman) (1999)
- Tical 0: The Prequel (2004)
- 4:21... The Day After (2006)
- Blackout! 2 (with Redman) (2009)
- The Wu-Massacre (akiwa na Raekwon na Ghostface Killah) (2009)
- Crystal Meth (2010)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Method Man at the Internet Movie Database
- Method Man official site
- IONCINEMA.com interview with Method Man for The Wackness
- Wu-Tang Clan official site
- Method Man Interview: The Art Of War Archived 23 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Dear Superstar: Method Man Archived 24 Februari 2009 at the Wayback Machine.
- Method Man's Favorite Things Archived 26 Mei 2009 at the Wayback Machine.
- Method Man speaks to SOHH Archived 26 Januari 2007 at the Wayback Machine.
- Another Method Man interview Archived 12 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- Method Man interview and concert :: Video Report on OC-TV.net
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Method Man kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |