Nenda kwa yaliyomo

Mbamia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbamia
(Abelmoschus esculentus)
Mbamia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Malvales (Mimea kama mpamba)
Familia: Malvaceae (Mimea iliyo mnasaba na mpamba)
Jenasi: Abelmoschus
Medik.
Spishi: A. esculentus
(L.) Moench

Mbamia au mbinda (Abelmoschus esculentus) ni kichaka ambacho matunda yake (mabamia au mabinda) huliwa sana katika kanda za tropiki, mara nyingi kama supu yenye kuteleza.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbamia kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.