Maria Teresa Ledochowska
Mandhari
Maria Teresa Ledochowska (Loosdorf, Melk, Austria ya Chini, 29 Aprili 1863 – Roma, Italia, 6 Julai 1922) alikuwa mtawa wa Polandi, mwanzilishi wa shirika la Masista Wamisionari wa Mt. Petro Claver.
Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 19 Oktoba 1975.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |