Nenda kwa yaliyomo

Lucy Liu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lucy Liu
Lucy Liu mwaka 2012
Lucy Liu mwaka 2012
Jina la kuzaliwa Lucy Alexis Liu
Alizaliwa 2 Desemba 1968
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1991 – Hadi leo

Lucy Alexis Liu (amezaliwa 2 Desemba 1968) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy kama mwigizaji bora filamu wa Marekani. Lucy alianza kujipataia umaarufu ni baada ya kucheza katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Ally McBeal (1998–2002) na pia kuonekana katika baadhi ya filamu maarufu kama vile Chicago, Kill Bill na Charlie's Angels.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa na kukua akiwa na kaka yake, Alex Liu, mjini Jackson Heights, Queens, New York na wahamiaji wa Kichina.[1] Liu alisema kwamba yeye alilelewa na kukulia katika maisha ya maliwazo ya majirani.[1] Familia yake inazungumza Kimandarin. Lucy Liu hakujifunza Kiingereza hadi alipofikisha umri wa miaka mitano.[2] Baba yake, Tom, alikuwa mhandisi wa kujitegemea na mama yake, Cecilia, ni mwanabiokemia mjini Taiwan, lakini walizotoa sadaka kazi hizo na badala yake wakaelekea nchini Marekani.

Baada ya wazazi wa wake kutalikana, Liu ikamlazimu kutafuta muda wa kuweza kujipatia elimu. Alisoma katika shule ya Joseph Pulitzer Middle School (I.S.145) na kuja kumaliza katika shule ya mjini New York Stuyvesant High School kunako mwaka wa 1986.[3] Baada ya hapo akaelekea zake kujiunga na masomo ya chuo kikuu cha New York kwa mwaka mmoja, kabla ya kuhamishwa katika chuo kikuu cha Michigan ambapo alimaliza elimu yake na kupata digrii ya sayansi na lugha za Kiasia na tamaduni zake.

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Beverly Hills, 90210 - Msimu 2, Sehemu ya 6 - "Pass, Not Pass" (1991)
  • L.A. Law - Msimu 8, Sehemu ya 4 - "Foreign Co-respondent" (1993)
  • Hotel Malibu - Msimu 1, Sehemu ya 2 - "Do Not Disturb" (1994)
  • Coach - Msimu 7, Sehemu ya 2 - "It Should Happen to You" (1994)
  • Coach - Msimu 7, Sehemu ya 11 - "Out of Control" (1994)
  • Home Improvement - Msimu 4, Sehemu ya 16 - "Bachelor of the Year" (1995)
  • Hercules: The Legendary Journeys - Msimu 1, Sehemu ya 8 - "The March to Freedom" (1995)
  • ER - Msimu 2, Sehemu ya 3 - "Do One, Teach One, Kill One" (1995)
  • ER - Msimu 2, Sehemu ya 4 - "What Life?" (1995)
  • ER - Msimu 2, Sehemu ya 5 - "And Baby Makes Two" (1995)
  • Nash Bridges - Msimu 1, Sehemu ya 1 - "Genesis" (1996)
  • The X-Files - Msimu 3, Sehemu ya 19 - "Hell Money" (1996)
  • High Incident - Msimu 1, Sehemu ya 6 - "Father Knows Best" (1996)
  • High Incident - Msimu 1, Sehemu ya 7 - "Follow the Leader" (1996)
  • NYPD Blue - Msimu 4, Sehemu ya 17 - "A Wrenching Experience" (1997)
  • Ally McBeal - Msimu 2-5 (regular) (1998–2002)
  • Sex and the City - Msimu 4, Sehemu ya 11 - "Coulda, Woulda, Shoulda" (2001)
  • Joey - Msimu 1, Several Sehemu yas (2004-2005)
  • Ugly Betty - Msimu 1, Sehemu ya 16 - "Derailed" (2007)
  • Ugly Betty - Msimu 1, Sehemu ya 17 - "Icing on the Cake" (2007)
  • Traffic: An MTV EXIT Special - Host of an MTV documentary to raise awareness about human trafficking in Asia (2007)
  • "Cashmere Mafia"
  • "The Simpsons"
  • Futurama Msimu 3, Sehemu ya 15, Starring as herself (and robot copies of herself)[4]
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
1992 Ban wo zong heng Donna
1993 Protozoa Ari
1995 Bang Hooker
1996 Jerry Maguire Former Girlfriend
1997 Flypaper Dot

Riot 1997 Filamu (Luke Perry's Girlfriend)

Gridlock'd Cee-Cee
City of Industry Cathi Rose
Guy Woman at newsstand
1998 Love Kills Kashi
1999 Payback Pearl
True Crime Toy Shop Girl
Molly Brenda
The Mating Habits of the Earthbound Human Lydia
Play It to the Bone Lia
2000 Shanghai Noon Princess Pei Pei
Charlie's Angels Alex Munday
2001 Hotel Kawikar
2002 Ballistic: Ecks vs. Sever Agent Sever
Cypher Rita Foster
Chicago Kitty Baxter
2003 Charlie's Angels: Full Throttle Alex Munday
Kill Bill: Vol. 1 O-Ren Ishii
2004 Mulan II Mei
2005 3 Needles Jin Ping, the Blood Smuggler
Domino Taryn Miles
2006 Lucky Number Slevin Lindsey
2007 Code Name: The Cleaner Gina
Rise: Blood Hunter Sadie Blake
2008 Watching the Detectives Violet
Kung Fu Panda Master Viper voice only
The Year of Getting to Know Us Anne
Tinker Bell Silvermist
2009 Charlie Chan
  1. 1.0 1.1 Roberts, Sheila. "Lucy Liu Interview, CodeName The Cleaner", Movies Online, 2006-12-21. Retrieved on 2006-12-21. Archived from the original on 2007-01-06. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-10. Iliwekwa mnamo 2008-07-17.
  3. Ogunnaike, Lola. "The Perks and Pitfalls Of a Ruthless-Killer Role; Lucy Liu Boosts the Body Count in New Filamu", New York Times, 2003-10-13. Retrieved on 2007-11-01. 
  4. "Futurama" I Dated a Robot (2001)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: