Larry McMurtry
Mandhari
Larry Jeff McMurtry (amezaliwa 3 Juni 1936) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1986, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Lonesome Dove.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Larry McMurtry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |