Kitulu
Mandhari
Kitulu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Watulu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitulu imehesabiwa kuwa watu 1,720,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitulu iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitulu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitulu
- lugha ya Kitulu katika Glottolog
- lugha ya Kitulu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |