Kisaami cha Ter
Mandhari
Kisaami cha Ter ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Wasaami. Miaka wa 1990 kulikuwa na wasemaji sita tu wa Kisaami ya Ter, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaami ya Ter iko katika kundi la Kisami.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisaami ya Ter kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisaami ya Ter
- lugha ya Kisaami ya Ter katika Glottolog
- lugha ya Kisaami ya Ter kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisaami cha Ter kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |