Nenda kwa yaliyomo

Kimundabli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimundabli ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamundabli. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimundabli imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundabli iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimundabli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.