Nenda kwa yaliyomo

Kichurahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichurahi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachurahi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichurahi imehesabiwa kuwa watu 111,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichurahi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichurahi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.