Kiabar
Mandhari
Kiabar (au Kimungbam) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waabar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiabar imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabar iko katika kundi la Kibeboidi ambalo lugha zake hufanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiabar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiabar Ilihifadhiwa 17 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiabar katika Glottolog
- Tovuti ya Ethnologue kuhusu Kiabar
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiabar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |