Khadija Nassir Ali
Mandhari
Khadija Nassir Ali (amezaliwa tarehe 28 Juni 1990) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu vya Wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1] Amehitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |