Karne ya 8
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 6 |
Karne ya 7 |
Karne ya 8
| Karne ya 9
| Karne ya 10
| ►
Miaka ya 700 |
Miaka ya 710 |
Miaka ya 720 |
Miaka ya 730 |
Miaka ya 740 |
Miaka ya 750 |
Miaka ya 760 |
Miaka ya 770 |
Miaka ya 780 |
Miaka ya 790
Karne ya 8 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 701 na 800. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 701 na kuishia 31 Desemba 800. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.
Watu na matukio
[hariri | hariri chanzo]Karne: Karne ya 7 | Karne ya 8 | Karne ya 9 |
Miongo na miaka |
Miaka ya 700 | 700 701 702 703 704 705 706 707 708 709 |
Miaka ya 710 | 710 711 712 713 714 715 716 717 718 719 |
Miaka ya 720 | 720 721 722 723 724 725 726 727 728 729 |
Miaka ya 730 | 730 731 732 733 734 735 736 737 738 739 |
Miaka ya 740 | 740 741 742 743 744 745 746 747 748 749 |
Miaka ya 750 | 750 751 752 753 754 755 756 757 758 759 |
Miaka ya 760 | 760 761 762 763 764 765 766 767 768 769 |
Miaka ya 770 | 770 771 772 773 774 775 776 777 778 779 |
Miaka ya 780 | 780 781 782 783 784 785 786 787 788 789 |
Miaka ya 790 | 790 791 792 793 794 795 796 797 798 799 |
- Ufeudi unaenea Ulaya: zinaanzishwa ngome
- Kaisari Leo III anapinga sanamu katika Ukristo
- Karolo Nyundo anawashinda Waarabu huko Poitiers (732) wasienee Ulaya
- Karolo Mkuu (742 - 814) anatawazwa na Papa Leo III kuwa Kaisari wa Magharibi (800)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 8 kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |