Nenda kwa yaliyomo

Julius Adaramola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Julius Adaramola (alizaliwa 4 Aprili 1990) ni mwanasoka wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Råde IL. Hapo awali Adaramola alichezea klabu ya Olimpia Bălți na Fredrikstad FK.

Katika msimu wa 2010-2011, alicheza michezo yote minne ya kufuzu katika mashindano ya ligi ya UEFA Europa akiwa katika klabu ya Olimpia na kufunga bao moja, na kwa hivyo ndiye mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi kwa kulinganisha na wengine. [1]

Katika majira ya joto ya mwaka 2013, Adaramola alisaini mkataba wa kudumu na klabu ya Fredrikstad FK, baada ya shinikizo la nje kutoka kwa mashabiki na mazingira aliyokuwa akichezea.

Mnamo Mei 2016, Adaramola alijiunga na klabu ya Råde IL, [2] na kuweza kuongeza mkataba wake miaka mitatu zaidi na klabu hiyo mnamo Julai 2017. [3]

  1. FC Olimpia Balti – History at Uefa.com Accessed 28 May 2013.
  2. "Spilte 23 kamper for FFK i fjor - nå er han klar for Råde i 4. divisjon". nrk.no (kwa Norwegian). NRK. 13 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "Julius Adaramola skrev treårskontrakt med Råde". f-b.no (kwa Norwegian). Fredrikstad Blad. 19 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julius Adaramola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.