Jacob Batalon
Mandhari
Jacob Batalon (/ ˌbɑːtəˈlɒn, ˈbætəˌlɒn /, amezaliwa Oktoba 9, 1996) ni mwigizaji wa Marekani, anayejulikana sana kwa jukumu lake kama Ned Leeds katika filamu za Marvel Cinematic Universe Spider-Man: Homecoming (2017), Avengers : Infinity War (2018), Avenger: Endgame (2019), na Spider-Man: Far From Home (2019).
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacob Batalon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |