Hovhannes Bachkov
Mandhari
Hovhannes Bachkov (amezaliwa 2 Desemba 1992) ni mwanamasumbwi wa Armenia.
Alishiriki katika michezo ya uzani wa kati katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya 2016, lakini aliondolewa katika pambano la pili.[1][2] Alishinda medali ya shaba kwenye michezo ya olimpiki ya Majiraya joto ya 2020 huko Tokyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "BACHKOV Hovhannes - Olympic Boxing | Armenia". web.archive.org. 2016-08-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-15. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.
- ↑ "Olympedia – Hovhannes Bachkov". www.olympedia.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.
[[Jamii:{{ #if:1992|Waliozaliwa 1992|Tarehe ya kuzaliwa