Nenda kwa yaliyomo

Fredrik Bergström (mwanamaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fredrick Bergstorm (alizaliwa Onsala, 9 Julai 1990) ni raia wa Uswidi aliye mwanamaji mahiri sana.

Anawakilisha klabu maarufu ya wanamaji huko nchini Uswidi[1]. Alishiriki mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika mjini Rio de janeiro yaliyokuwa na wanaume 470 ambapo alishika nafasi ya 6[2]. Kwenye mashindano ya Olimpiki 2020 alishinda medali ya fedha pamoja na rafiki yake Anton Dahlberg[3].

  1. Bergström, Fredrik (2000). Small Business Economics. 14 (3): 183–193. doi:10.1023/a:1008133217594. ISSN 0921-898X http://dx.doi.org/10.1023/a:1008133217594. {{cite journal}}: Missing or empty |title= (help)
  2. Bergström, Fredrik (2000). Small Business Economics. 14 (3): 183–193. doi:10.1023/a:1008133217594. ISSN 0921-898X http://dx.doi.org/10.1023/a:1008133217594. {{cite journal}}: Missing or empty |title= (help)
  3. "Anton Dahlberg", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-20, iliwekwa mnamo 2021-12-01
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fredrik Bergström (mwanamaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.