Nenda kwa yaliyomo

Dr. Alban

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dr. Alban

Alban Uzoma Nwapa (anajulikana kwa jina lake la kisanii Dr. Alban, alizaliwa 26 Agosti 1957, ni mwanamuziki na mtayarishaji wa Kiswidi mzaliwa wa Nigeria anayemiliki lebo yake ya rekodi, Dr. Records.[1][2][3]

  1. "Dr Alban - the Story". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Dr Alban – 50 Greatest Nigerians of All Time? (Video) :: Naija's Most Incredible". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Calista Luxury Resort Hotel | Belek • Antalya • Türkiye". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Juni 2013. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dr. Alban kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.