Dallas Mavericks
Mandhari
Dallas Mavericks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Dallas, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Dirk Nowitzki.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Dallas Mavericks kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |