Nenda kwa yaliyomo

Cyclops (komiki)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cyclops (Siklopsi)
Faili:Kibonzo.jpg
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza The X-Men #1 (Sept. 1963)
Waumbaji Stan Lee
Jack Kirby
Maelezo
Jina halisiScott Summers
SpishiMutanti
UshirikianoX-Men
X-Force
X-Factor
X-Terminators
The Twelve
Lakabu mashuhuriCyke, Slim, Slym Dayspring, Scotius Summerisle, Mutate #007, Eric the Red
UwezoMionzi ya nishati ya macho

Cyclops (Kiswahili: Siklopsi) ni supa-shujaa aliyetoka ulimwengu wa Marvel Comics. Alikuwa mwanachama wa kwanza na mkuu wa X-Men. Cyclops ni mutanti mwenye uwezo kufyatua mionzi ya nishati kutoka macho yake.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cyclops (komiki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.