Chennai
Mandhari
Majiranukta: 13°5′N 80°16′E / 13.083°N 80.267°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Tamil Nadu |
Wilaya | Chennai Kanchipuram Tiruvallur |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,590,000 |
Tovuti: www.chennaicorporation.gov.in |
Chennai ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tamil Nadu katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 2 Desemba 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chennai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |