Nenda kwa yaliyomo

Mkeshamsitu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chamaetylas)
Mkeshamsitu
Mkeshamsitu kidari-kahawia (Chamaetylas poliocephala)
Mkeshamsitu kidari-kahawia
(Chamaetylas poliocephala)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Muscicapoidea (Ndege kama shore)
Familia: Turdidae (Ndege walio na mnasaba na mkesha)
Rafinesque, 1815
Ngazi za chini

Jenasi 6:

Mikeshamsitu ni ndege wa jenasi mbalimbali katika familia Turdidae. Spishi za Afrika zinafanana na chati na zina rangi ya kahawa mgongoni na nyeupe chini. Spishi za Asia zina rangi kali zaidi. Mwenendo wa ndege hawa ni kama ule wa mikesha. Wanatokea misitu ya majimaji ya Afrika na Asia, pengine milimani. Hula wadudu hasa na matunda pia. Hulijenga tago lao kwa vigoga, vijiti na mizizi katika mti. Jike huyataga mayai 3-5.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]