Brittany Lee Lewis
Mandhari
Brittany Lee Lewis (alizaliwa Brigantine, New Jersey, Julai 21, 1990) ni mwanaharakati, mchambuzi wa masuala ya siasa, diski joki (DJ).
Alikuwa Miss Delaware mwaka 2014, na Miss Black America mwaka 2017 [1]. Lewis alitawazwa kuwa Miss Black America wa 49 mwaka wa 2017 na alishiriki katika Miss Amerika kama Miss Delaware mnamo 2014. Yeye pia ni mtoa maoni wa mara kwa mara kwenye RT America, Roland Martin Show, Fox5DC, na programu mbalimbali za Sinclair Broadcasting.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "N.J. woman is not just a pageant winner – she's a Miss America scholar", The Inquirer. Retrieved on April 12, 2019.
- ↑ RT America (Januari 20, 2020). "NY Times endorsement: 'Patronizing' to women?". YouTube. Iliwekwa mnamo Juni 17, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brittany Lee Lewis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |