Boma (Kongo)
Mandhari
Boma ni mji wa Kongo Kati, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).
Makadirio ya idadi ya watu ni 162,521 (2012).
Boma ulikuwa mji mkuu wa Kongo ya Kibelgiji hadi mwaka 1926.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "(Boma)" – kutoka Digital Public Library of America. (Picha n.k.)
- Boma Panorama
05°51′00″S 13°03′00″E / 5.85000°S 13.05000°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Boma (Kongo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |