Beat It
Mandhari
“Beat It” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Thriller | |||||
Imetolewa | 14 Februari 1983 | ||||
Imerekodiwa | 1982 | ||||
Aina | Rock, R&B | ||||
Urefu | 4:19 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
| |||||
Kasha badala | |||||
"Beat It" ni wimbo wa rock na R&B wa msanii wa rekodi wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Wakati wa utayarishaji wa wimbo huu, Jones aliataka atengeneze rock 'n' roll ya watu weusi kupitia Jackson, lakini, Jackson hakupenda staili hiyo. Wakati wa kurekodi, Eddie Van Halen alijadiliwa aongezee gitaa la solo la rock. Mashairi ya "Beat It" yanazungumzia vikwazo na kutiana moyo, na yanataja maisha yake ya utoto jinsi alivyokuwa akinyanyasika na sura yake.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1983) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Austrian Singles Chart | 6[1] |
Danish Singles Chart | 31[2] |
Dutch Singles Chart | 1[3] |
French Singles Chart | 47[4] |
Italian Singles Chart | 12[5] |
Norwegian Singles Chart | 8[6] |
Spanish Singles Chart | 1[7] |
Swedish Singles Chart | 19[8] |
Swiss Singles Chart | 2[9] |
UK Singles Chart | 3[10] |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. R&B Singles Chart | 1 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
Australian Singles Chart | 17 |
Danish Singles Chart | 18 |
Finnish Singles Chart | 12[11] |
Norwegian Singles Chart | 10[12] |
New Zealand Singles Chart | 24 |
Turkey Top 20 Chart | 14[13] |
UK Singles Chart | 19 |
U.S. Hot Digital Songs | 7[14] |
Matunukio
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
New Zealand | Gold[15] | 7,500 |
Maelezo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Austrian Singles Chart Archives". austriancharts.at. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Danish Singles Chart Archives". danishcharts.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Dutch Singles Chart Archives". dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "French Singles Chart Archives". lescharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Italian Singles Chart Archives". italiancharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Norwegian Singles Chart Archives". norwegiancharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Spanish Singles Chart Archives". spanishcharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Swedish Singles Chart Archives". swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ "UK Singles Chart Archives". chartstats.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-24. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2009.
- ↑ Suomen virallinen lista
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-05. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
- ↑ "Billboard Türkiye Top 20". Billboard Türkiye (kwa Turkish). 6 Julai 2009. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-20. Iliwekwa mnamo 2009-07-06.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help)CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-16.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedrianz.org.nz
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Austen, Jake (2005). TV-a-Go-Go. Chicago Review Press. ISBN 1556525729.
- Campbell, Lisa (1993). Michael Jackson: The King of Pop. Branden. ISBN 082831957X.
- Campbell, Lisa (1995). Michael Jackson: The King of Pops Darkest Hour. Branden. ISBN 0828320039.
- Dean, Maury (2003). Rock 'n' Roll Gold Rush. Algora Publishing. ISBN 0875862071.
- George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
- Halstead, Craig (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6.
- Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4.
- Thriller 25: The Book (2008). Thriller 25: The Book. ML Publishing Group. ISBN 978-0-9768891-9-9.
{{cite book}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link) - Whiteley, Sheila (2005). Too Much Too Young. Routledge. ISBN 0415310296.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Beat It kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |