Nenda kwa yaliyomo

Athol Fugard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Athol Fugard
Amezaliwa Harold Athol Lanigan Fugard
11 Juni 1932
Eastern Cape, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1956-hadi leo
Tovuti http://theatre.ucsd.edu/people/faculty/AtholFugard/

Athol Fugard (amezaliwa 11 Juni 1932) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa ameandika tamthiliya. Baadhi ya tamthiliya zake zimetumiwa kwa kubuni filamu. Naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, k.m. katika Gandhi Fugard aliigiza Jenerali Jan Smuts.

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • No-Good Friday (1958)
  • Nongogo (1959)
  • The Blood Knot (1961)
  • Hello and Goodbye (1966)
  • People are Living There (1968)
  • Boesman and Lena (1969)
  • Sizwe Bansi is Dead (1972, pamoja na John Kani na Winston Ntshona)
  • The Island (1973, pamoja na John Kani na Winston Ntshona)
  • A Lesson from Aloes (1981)
  • My Children! My Africa! (1990)
  • Playland (1992)
  • Master Harold and the Boys (1993)

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Athol Fugard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.