Andhra Pradesh
Andhra Pradesh (Telugu: ఆంధ్ర ప్రదేశ్, Kiurdu: آندھرا پردیش), ni moja kati ya majimbo 28 ya India. Jimbo lipo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya India. Ni jimbo la nne kwa ukubwa wa eneo na ni la tano kwa hesabu ya wingi wa wakazi nchini India. Mji mkuu wake ni Hyderabad. Jumla ya pato la ndani ya Pradesh ni dola za Kimarekani zipatazi bilioni 100 na imeshika nafasi ya tatu miongoni mwa majimbo yote ya India.[1] Jimbo hili ni la pili kwa ukuwa na ukanda wa pwani ulio-mkubwa zaidi ambamo kuna km 972 (mi 604) miongoni mwa majimbo yote ya India.[2] Lugha ya kwanza mjini Andhra Pradesh ni Kitelugu na Kiurdu ni lugha rasmi katika baadhi ya sehemu,[3] wakati lugha zingine zinazozungumzwa mjini hapa ni pamoja na Kihindi, Kimarathi, Kitamil, Kannada, na Kioriya. Idadi ya wakazi wa mjini hapa ni 84,655,533 - kulingana na sensa ya mwaka wa 2011.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "State Domestic Product of India 2010-11 | State-Wise GDP 2010 | District GDP of India | State-wise Population 2011 | VMW Analytic Services". Unidow.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-24. Iliwekwa mnamo 2011-10-08.
- ↑ "Citizen Help". APOnline. 1 Novemba 1956. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-21. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2009.
- ↑ "AP Online, Index.html". Andhra Pradesh official website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-12-19. Iliwekwa mnamo 16 Januari 2011.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 3 Agosti 2017 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Andhra Pradesh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |