Šiauliai
Mandhari
Šiauliai (Kijerumani: Schaulen; Kiyiddish: שאַװל; Kipoland: Szawle) ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa nne katika nchi wa Lituanya. Kuna wakazi 129,075 (mwaka 2007). Mji ulianzishwa 1589. Kuna pia Chuo Kikuu cha Šiauliai.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 401 km².
-
Kryžių kalnas (Mwinuko wa misalaba)
-
Šiauliai Žalgiris (Timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka Šiauliai)
-
Kanisa la Šiauliai
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- www.siauliai.lt Archived 21 Desemba 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu "Šiauliai" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Šiauliai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |