Papa Damaso I
Mandhari
Papa Damaso I (takriban 304 – 11 Desemba 384) alikuwa papa kuanzia mwezi wa Oktoba 366 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Damasus.
Alimfuata Papa Liberius akafuatwa na Papa Siricius.
Mchango wake mkubwa zaidi ni kuthibitisha kanuni ya Biblia kama ilivyo hadi leo katika Kanisa Katoliki.
Maandishi yake
Marejeo
- Chadwick, Henry. The Pelican History of the Church – 1: The Early Church.
- Walker, Williston. A History of the Christian Church.
Viungo vya nje
- media kuhusu Damasus I pa Wikimedia Commons
- Chisholm, Hugh, ed. (1911). "Damasus". Encyclopædia Britannica (11th ed.). Cambridge University Press.
- Kuhusu Papa Damaso I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Damaso I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |