Papa Damaso I : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: el:Πάπας Δάμασος Α΄ |
Add 1 book for verifiability (20231017)) #IABot (v2.0.9.5) (GreenC bot |
||
(marekebisho 24 ya kati na watumizi wengine 12 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Saintdamasus.jpg|thumb|right|Papa Damaso I]] |
[[Picha:Saintdamasus.jpg|thumb|right|Papa Damaso I.]] |
||
⚫ | '''Papa Damaso I''' (takriban [[304]] – [[11 Desemba]] [[384]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[1 Oktoba]] [[366]] hadi [[kifo]] chake<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.html/ index.html#holy-father</ref>. Alitokea [[Roma]], [[Italia]]. [[Jina]] lake la kuzaliwa pia lilikuwa Damasus. |
||
Alimfuata [[Papa Liberius]] akafuatwa na [[Papa Siricius]]. |
|||
⚫ | |||
Mchango wake mkubwa zaidi ni kuthibitisha [[kanuni ya Biblia]] kama ilivyo hadi leo katika [[Kanisa Katoliki]]. |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. |
|||
⚫ | |||
[[Sikukuu]] yake ni [[11 Desemba]].<ref>''Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum'', Romae 2001, ISBN 8820972107</ref>. |
|||
⚫ | |||
==Athari yake katika suala la Deuterokanoni== |
|||
Vitabu vya [[Deuterokanoni]] vilihesabiwa rasmi kuwa sehemu ya [[Biblia]] hasa kuanzia [[Hati ya Damasi]] au ''De explanatione fidei'', iliyotolewa na Papa Damasus I mwaka [[382]] ([http://catho.org/9.php?d=bxk#a4j kwa Kilatini]). |
|||
[[Tafsiri]] ya [[Kilatini]] ya [[Hieronimo]] kilichoitwa [[Vulgata]] ilipata kuwa toleo muhimu katika Kanisa Katoliki hadi leo. Hieronimo mwenyewe alipotafsiri Biblia upya katika Kilatini alisema vitabu vya Septuaginta kama [[Kitabu cha Hekima]], [[Kitabu cha Yoshua bin Sira]], [[Kitabu cha Yudith]] na [[Kitabu cha Tobiti]] havistahili kuwemo katika Biblia lakini alivitafsiri ndani ya Vulgata kufuatana na maelekezo wa Papa Damaso I aliyemuagiza kazi.<ref>"Hic prologus Scripturarum quasi galeatum principium omnibus libris, quos de hebraeo vertimus in latinum, convenire potest, ut scire valeamus, quicquid extra hos est, inter apocrifa seponendum. Igitur Sapientia, quae vulgo Salomonis inscribitur, et Iesu filii Sirach liber et Iudith et Tobias et Pastor non sunt canone. Macchabeorum primum librum hebraicum repperi, secundus graecus est, quod et ex ipsa φράσιν probari potest." (Hieronimo katika "Prologus Galeatus" au utangulizi kwa vitabu vya Samueli na Wafalme katika Vulgata)</ref> |
|||
Orodha hiyo ya Papa Damaso I ilipata nguvu [[Afrika Kaskazini]] kutokana na [[Agostino wa Hippo]] kuifanya ipitishwe na [[Mtaguso]] wa [[Hippo]] ([[393]]), Mtaguso wa Tatu wa [[Kartago]] ([[397]]) na Mtaguso wa Nne wa Kartago ([[419]]). |
|||
Wakati huohuo [[Papa Inosenti I]] aliituma kwa [[askofu]] Exuperius wa [[Toulouse]] ([[405]]). |
|||
Baadaye [[Mtaguso wa Firenze]] ([[1442]]) na [[Mtaguso wa Trento]] ([[1546]]) ilivitambua rasmi kuwa sehemu za Biblia kamili kwa Kanisa Katoliki. |
|||
==Tazama pia== |
|||
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]] |
|||
⚫ | |||
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]] |
|||
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]] |
|||
*[[Orodha ya Mapapa]] |
|||
*[[Mababu wa Kanisa]] |
|||
==Maandishi yake== |
|||
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/01_01_0366-0383-_Damasus_I,_Sanctus.html ''Opera Omnia'' by Migne Patrologia] |
|||
==Tanbihi== |
|||
{{reflist}} |
|||
==Marejeo== |
|||
*{{cite book|first=Henry |last=Chadwick |title=The Pelican History of the Church – 1: The Early Church}} |
|||
*{{cite book|first=Williston |last=Walker|title=A History of the Christian Church|url=https://archive.org/details/historychristian00walk }} |
|||
⚫ | |||
{{Commons category-inline|Damasus I}} |
|||
⚫ | |||
{{Mapapa}} |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
[[Jamii:Papa]] |
[[Jamii:Papa]] |
||
[[Jamii:Waliozaliwa 304]] |
[[Jamii:Waliozaliwa 304]] |
||
[[Jamii:Waliofariki 384]] |
[[Jamii:Waliofariki 384]] |
||
[[jamii:Mababu wa Kanisa]] |
|||
⚫ | |||
[[Jamii:Watakatifu wa Italia]] |
|||
[[af:Pous Damasus I]] |
|||
[[arz:القديس داماسوس]] |
|||
[[be:Дамас I, Папа Рымскі]] |
|||
[[be-x-old:Дамас I (папа рымскі)]] |
|||
[[bg:Дамас I]] |
|||
[[br:Damasus Iañ]] |
|||
[[ca:Damas I]] |
|||
[[ceb:Dámaso I]] |
|||
[[cs:Damasus I.]] |
|||
[[da:Pave Damasus 1.]] |
|||
[[de:Damasus I.]] |
|||
[[el:Πάπας Δάμασος Α΄]] |
|||
[[en:Pope Damasus I]] |
|||
[[eo:Damaso la 1-a]] |
|||
[[es:Dámaso I]] |
|||
[[et:Damasus I]] |
|||
[[eu:Damaso I.a]] |
|||
[[fa:دامازوس]] |
|||
[[fi:Damasus I]] |
|||
[[fr:Damase Ier]] |
|||
[[gl:Dámaso I, papa]] |
|||
[[he:דמסוס הראשון]] |
|||
[[hr:Damaz I.]] |
|||
[[hu:I. Damáz pápa]] |
|||
[[id:Paus Damasus I]] |
|||
[[it:Papa Damaso I]] |
|||
[[ja:ダマスス1世 (ローマ教皇)]] |
|||
[[jv:Paus Damasus I]] |
|||
[[ka:დამასუს I]] |
|||
[[ko:교황 다마소 1세]] |
|||
[[la:Damasus I]] |
|||
[[lt:Damasas I]] |
|||
[[mk:Папа Дамасиј I]] |
|||
[[ml:ദമാസൂസ് ഒന്നാമൻ]] |
|||
[[nl:Paus Damasus I]] |
|||
[[no:Damasus I]] |
|||
[[pl:Damazy I]] |
|||
[[pt:Papa Dâmaso I]] |
|||
[[ro:Papa Damasus I]] |
|||
[[ru:Дамасий I (папа римский)]] |
|||
[[sc:Damaso]] |
|||
[[sh:Damaz I]] |
|||
[[sk:Damazus I.]] |
|||
[[sv:Damasus I]] |
|||
[[th:สมเด็จพระสันตะปาปาดามาซุสที่ 1]] |
|||
[[tl:Dámaso I]] |
|||
[[uk:Дамасій I]] |
|||
[[vi:Giáo hoàng Đamasô I]] |
|||
[[war:Papa Damaso I]] |
|||
[[yo:Pope Damasus I]] |
|||
[[zh:達瑪穌一世]] |
Toleo la sasa la 22:14, 17 Oktoba 2023
Papa Damaso I (takriban 304 – 11 Desemba 384) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1 Oktoba 366 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Damasus.
Alimfuata Papa Liberius akafuatwa na Papa Siricius.
Mchango wake mkubwa zaidi ni kuthibitisha kanuni ya Biblia kama ilivyo hadi leo katika Kanisa Katoliki.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni 11 Desemba.[2].
Athari yake katika suala la Deuterokanoni
[hariri | hariri chanzo]Vitabu vya Deuterokanoni vilihesabiwa rasmi kuwa sehemu ya Biblia hasa kuanzia Hati ya Damasi au De explanatione fidei, iliyotolewa na Papa Damasus I mwaka 382 (kwa Kilatini).
Tafsiri ya Kilatini ya Hieronimo kilichoitwa Vulgata ilipata kuwa toleo muhimu katika Kanisa Katoliki hadi leo. Hieronimo mwenyewe alipotafsiri Biblia upya katika Kilatini alisema vitabu vya Septuaginta kama Kitabu cha Hekima, Kitabu cha Yoshua bin Sira, Kitabu cha Yudith na Kitabu cha Tobiti havistahili kuwemo katika Biblia lakini alivitafsiri ndani ya Vulgata kufuatana na maelekezo wa Papa Damaso I aliyemuagiza kazi.[3]
Orodha hiyo ya Papa Damaso I ilipata nguvu Afrika Kaskazini kutokana na Agostino wa Hippo kuifanya ipitishwe na Mtaguso wa Hippo (393), Mtaguso wa Tatu wa Kartago (397) na Mtaguso wa Nne wa Kartago (419).
Wakati huohuo Papa Inosenti I aliituma kwa askofu Exuperius wa Toulouse (405).
Baadaye Mtaguso wa Firenze (1442) na Mtaguso wa Trento (1546) ilivitambua rasmi kuwa sehemu za Biblia kamili kwa Kanisa Katoliki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Mapapa
- Mababu wa Kanisa
Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.html/ index.html#holy-father
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
- ↑ "Hic prologus Scripturarum quasi galeatum principium omnibus libris, quos de hebraeo vertimus in latinum, convenire potest, ut scire valeamus, quicquid extra hos est, inter apocrifa seponendum. Igitur Sapientia, quae vulgo Salomonis inscribitur, et Iesu filii Sirach liber et Iudith et Tobias et Pastor non sunt canone. Macchabeorum primum librum hebraicum repperi, secundus graecus est, quod et ex ipsa φράσιν probari potest." (Hieronimo katika "Prologus Galeatus" au utangulizi kwa vitabu vya Samueli na Wafalme katika Vulgata)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chadwick, Henry. The Pelican History of the Church – 1: The Early Church.
- Walker, Williston. A History of the Christian Church.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Damaso I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |